Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hua Nasema kuna wachezaji ni kama wapo kwenye mission kutuharibia run
 
Haya wale wa kumtetea Xhaka nawasubiria mechi ikiisha salama game kubwa kasababisha penalty na yellow card kwa Gabriel haya waleteeee
 
Asani-Ali kipindi cha kwanza mmecheza mpira ila kipindi cha pili naona mnacheza rede, shauri yenu mkifanya mtachezea nyingi.
 
Kwahiyo sasahivi kila faulo ni card? hiyo card sijaelewa kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…