Arsenal (The Gunners) | Special Thread

First half city hawana shot on target
Hahahaha ila kuna mda mmewapigia city nusu uwanja hadi sio poa.....its lovely to see ... imagine kocha anapewa mil 400 over two windows ajenge timu zaidi.....
 
Kipindi cha kwanza Asani-Ali mmeupiga mwingi sana, ngoja kipara akawafokee wachezaji wake halafu tuone kipindi cha pili watakuja vipi.
 
One of the best first half I have seen against City by any team.. Amazing energy amazing dedication.. Without Auba we are so much more energetic and positive in attack..
 
Naona tumefukia Kutukanana!?

Nitapynzika kwenye huu uzi kwa Muda Kuwapisha walioamua luunajisi waendelee kunajisiana kwa matusi.

Asanteni watu wa mpira msiojua staha na guraha ya Mpira bila Matusi.

Kila la kheri
Unapata tabu bure mkuu.

Mtu mwenye matusi unampiga ignore tu
 
Arsenal yangu angalau sasa naweza hata nikakopa pesa ya kufanyia shughuli zangu na haitopotea pesa ya watu.
 
Nyinyi kunguni Arsenyeto huwa mnasumbua sana kwenye jukwaa la the blues.

Siku yenu ya kunyolewa inefika leo.

Natamani sana City afungwe lakini siwezi kujiombew ugonjwa wa moyo.

Acha mpigwe tu, Ng'ombe nyinyi.
'Inefika' ndio nini? Hebu tulia kwanza

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
One of the best first half I have seen against City by any team.. Amazing energy amazing dedication.. Without Auba we are so much more energetic and positive in attack..
Without who?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…