Do or die, inabidi leo tufunguke, ukikaa sana nyuma city ndio anakuua nyingi
attack as one unity and defend as one unity, through 90+ mins
Well structured, more active.
Kama ilivyo, nguvu ya mamba ni maji, ata nguvu ya man city ni midfield
Na ukiangalia DNA, midfield ndio nguvu ya arsenal miaka yote,
Leo atakaekua dhaifu katika eneo la kiungo ndio inakula kwake
Pia hii game ina goals nyingi