Kwa hiyo Auba alivyopewa 3.5 year contract alikuwa ana miaka 25?Unagawa long term contract kwa ST wa 30 years kichwani una makaratasi au?
Wote tunaangalia mechi wote tunaona Auba na Laca nani ana hard work, nani anazurura uwanjani kuwinda mpira, nani akipoteza mpira hasimami anaurudia. Pia kuna takwimu na heat maps za wachezaji wote kama kuna mechi utakua haujaangalia.
Mid ya liva yote haina pace.Kwa hiyo Auba alivyopewa 3.5 year contract alikuwa ana miaka 25?
Rudi kagoogle maana ya press mkuu
Kwa maana nyepesi press ni pressure, unaposema Auba anazidiwa na laca kupress that's a counterintuitive argument. Wachezaji wote ambao ni pressing machine sifa yao kubwa ni pace.
Km Auba atakuwa mtu wa kubadilika basi chance ya kuruhusiwa kwenda afcon mapema itamfanya ajirekebisheMid ya liva yote haina pace.
Mid ya chelsea mwenye pace ni kante pekee.
Yet hizo timu zinafanya pressing nzuri sana.
Kupress hufanywa as a unit, recently Auba hawi ndani ya unit na hichi ndicho kazidiwa na Laca.
Mimi sihitaji kugoogle ishu basic kama hiyo akirudi kutoka Afcon akipata namba tutaona anavyopress.
Auba anauzwa mkuu, Arteta huwa anaanza Kama utani ila ndo anakuchinjia baharini hivyoKm Auba atakuwa mtu wa kubadilika basi chance ya kuruhusiwa kwenda afcon mapema itamfanya ajirekebishe
kwanini?Wewe Lokonga unapaswa utoswe baharini ukiwa umefungwa jiwe kubwa, ndiye unayeharibu reputation ya club.
January ishafika yaweza akauzwa akiwa afconKm Auba atakuwa mtu wa kubadilika basi chance ya kuruhusiwa kwenda afcon mapema itamfanya ajirekebishe
Would be a blessings.January ishafika yaweza akauzwa akiwa afcon
Mtupe cc huyo co size yenu.January ishafika yaweza akauzwa akiwa afcon
Wachezaji wanaoweza kuja kwenu ni Ighalo, Cavani na RonaldoMtupe cc huyo co size yenu.
White ana decent pace na ball playing ability unlike Chambers, so haurisk sana kumuweka RBA makeshift right back against the best team in world football right now is NOT ideal😪
Liverpool huwa naitazama sana this season wanacontrol games through high line press kumaintain their width and depth lakini still off the ball wanastrugle kwa kumkosa Wijnaldum( athlete), bado huoni umuhimu wa pace within press?Mid ya liva yote haina pace.
Mid ya chelsea mwenye pace ni kante pekee.
Yet hizo timu zinafanya pressing nzuri sana.
Kupress hufanywa as a unit, recently Auba hawi ndani ya unit na hichi ndicho kazidiwa na Laca.
Mimi sihitaji kugoogle ishu basic kama hiyo akirudi kutoka Afcon akipata namba tutaona anavyopress.
Actually upo sahihi. Auba anapress kuliko Laca, in fact nafikiri Laca itabidi arudi bench ili tufaidike na pressing ya Auba.Liverpool huwa naitazama sana this season wanacontrol games through high line press kumaintain their width and depth lakini still off the ball wanastrugle kwa kumkosa Wijnaldum( athlete), bado huoni umuhimu wa pace within press?
Kupress as unit, unahitaji individuals wa kiswitch targets within press, Ni kivipi Odegaard anaweza kupress kama Auba hajaInitiate move? Unahitaji kuelewa zaidi unachokitetea.
The best way to defend is by attacking, na attack nzuri ni ile inayoweza kumiliki mpira wakati wote wakitafuta upenyo.Actually upo sahihi. Auba anapress kuliko Laca, in fact nafikiri Laca itabidi arudi bench ili tufaidike na pressing ya Auba.
Sielewi hata kidogo ninachokiongea nimefurahi umenionyesha jinsi gani siielewi defensive tactics za mpira.
Auba amechezeshwa na Laca msimu huu lakini bado Laca ameonekana kujituma kumzidi Auba msimu uliopita ilikua wakicheza pamoja Laca anakua bull striker wa kulazimisha njia au kudistract wakati poacher Auba atascore.The best way to defend is by attacking, na attack nzuri ni ile inayoweza kumiliki mpira wakati wote wakitafuta upenyo.
Kwa sasa team inamatokeo mazuri baada ya Mr Pressing kuwekwa kando. Aliyejuu mwalimu hatimae amejua namna ya kumtumia, anamiliki mali na kuisogeza team isaidie kushambulia.
Mr pressing hawezi hilo Jukumu ndo maana team ilikuwa inalazimiaka kupress na daima tulikuwa tunalazimika kulinda na sio kushambulia.
Lacca anatimiza majukumu yake ya ushambuliaji very effective and efficient na hatimae team ina balance kati ya ushambuliaji na ukabaji.
Lacazette & Auba dont fit the bill quality wise within system, kila mmoja ana flaws zake na ndio maana tunahunt for a new ST, Sio suala la kuchukia hata.Actually upo sahihi. Auba anapress kuliko Laca, in fact nafikiri Laca itabidi arudi bench ili tufaidike na pressing ya Auba.
Sielewi hata kidogo ninachokiongea nimefurahi umenionyesha jinsi gani siielewi defensive tactics za mpira.