Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
It's enough kiongozi mnafika mbali hukoTrue am not that good at football but am good at psychology.
Am pretty sure you never thought you will encounter a stranger that can tell your life based on your writings.
Didn't know you are a homosexual. For how long you've been hiding this from your mom?
Jirani yetu, usiwe kama nyumbu..pàmbana na timu yako....Hapa hamna timu kabisa
Timu imejaa wavivu, afu unataka kupress high line ili uControl game huku beki ni Mustafi na Sokratis,Arsenal starting Xl as chosen by “Arteta Out” mob:
Martinez
Emerson Royal Saliba Gabriel Tierney
Guendouzi Willock Buendia
Pepe Özil Aubamayang
Managed by Brendan Rogers
Vipi hali yakoSista mpaka saa hii Rowe ana magoli mengi kuliko Ronaldo.
UnajisikiajeTimu yako bado sana.
Haijafikia level ya kukuhakishia kutamba katika majukwaa ya watu.
Ila kwakua ni nyumbu hauwezi kuelewa.
Hahahaha kwa iyo na nyie arse8 Muna matumaini ya kuingia na kumaliza ndani ya top four? Hivi muko siriyas kweli? Kumbuka sisi ndio tunaibeba London mabegani mwetu ..Sasa ninyi munataka Nini msimu huu?Chelsea kacheza games 19.
Arsenal kacheza games 19.
Chelsea kashinda games 12.
Arsenal kashinda games 11.
Hakuna namna wewe ujione title contender kwa rekodi hiyo halafu Arsenal asijione title contender kinega wewe.
Ila arse8 bana wanazingua Sana ..eti Wana mchezaji anaitwa tambi lokonga hahaha😂😂😂🤣🤣 halafu eti na wao ni ma title contender kwa Sasa..kwann unakwepa swali tambi lokonga
Sent using motorola 78
Well I wrote hauwezi kuelewa and here we are.
Kinega kamsikilize thomas tapeli anavyosema kwakua beki kaumia nyinyi hamuwezi tena kugombea ubingwa na anataka kuacha kazi kama hatolazimishwa kucheza.Hahahaha kwa iyo na nyie arse8 Muna matumaini ya kuingia na kumaliza ndani ya top four? Hivi muko siriyas kweli? Kumbuka sisi ndio tunaibeba London mabegani mwetu ..Sasa ninyi munataka Nini msimu huu?
Oya njereee mbona unaandika kiwaki sana? andika kiswahili basi dingi.Hahahaha kwa iyo na nyie arse8 Muna matumaini ya kuingia na kumaliza ndani ya top four? Hivi muko siriyas kweli? Kumbuka sisi ndio tunaibeba London mabegani mwetu ..Sasa ninyi munataka Nini msimu huu?
Naitwa Albert Sambi Lokonga hilo tambi silitambui.Ila arse8 bana wanazingua Sana ..eti Wana mchezaji anaitwa tambi lokonga hahahahalafu eti na wao ni ma title contender kwa Sasa..
Weka msimamo wa ligi
For meDo you agree that Saka is better than Sancho? 🤔