Arsenal (The Gunners) | Special Thread

jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!

huyu Diaby sidhani kama ni yeye maana siku hizi....
 
leo ili kuthibitisha kuwa tunaweza na hatubatishi tuwadungue hawa barca. nitajipa zawadi ya whisky!! al the best gunaz
 
Messi leo anacheza kwa mguu mmoja na usoni anafungwa kitambaa!
 
we acha tu jamani,naomba iwe salama....tukifungwa tu naenda zangu Loliondo manake hali itakuwa si nzuri....pia nataka niwakilishe ARSENAL kwenye kusafisha nyota kule Loliondo......bundi awe anakaa mbali na sisi!!!

i will be there for u.. whatever the results
 
Arsenal tukicheza kwa kujituma nina imani we can make it,Cesc na RVP wapo kwenye squad,on the other hand barca watawakosa central defenders wote wawili (Pique na Puyol),hivyo pale nyuma wanawategea sergio busquets na eric abidal.Kwa mtizamo huo if we play with a fighting spirit uwezekano wa kufunga magoli ni mkubwa sana kwa sababu ukuta wao sio imara,...ON THE WAY TO CAMP NOU see u there,Gunners forever%%%
 

Hii ilikuwa ni post yangu kwa Manda........Alimtukana mamba kabla ya kuvuka mto....kilichomtokea jana anakijua mwenyewe

habari nzuri sana hizi, kwahio tutakuwa tunamkosa walcott na song peke yake kesho kama rvp ata pass fitness test.


...Uwe na Amani, ulale kwa raha zako,
We are the Gunners...

Together We Stand!

Hivi Van Persie leo atacheza?? Maana bila yeye sijui kama tutapona kwa barca..

Nimesikia hivyo,atacheza....!!


Hahahahahahahahah nna imani mtawafundisha hawa jamaa mpira japo nanyi hamtabiriki,ila nimeshikilia sehemu muhimu mpaka muda huo mambo yatakuwa kama nnavyotaka,hiyo nauli ya Loliondo ihifadhi vizuri tukapombeke baada ya mechi:rain:

ondoa hofu mamaa michele.hao barca wakae mkao wa kichapo leo tunawapiga 2 wakacheze na wachovu wenzao la liga.
halafu inaelekea una akili sana kwani ARSENAL hakuna wachovu.bundi yupo kwa jirani na sidhani kama atatoka siku za karibuni.

tuko pamoja! Arsenal for life

jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!

All the best arsenal! Pamoja saana!

leo ili kuthibitisha kuwa tunaweza na hatubatishi tuwadungue hawa barca. nitajipa zawadi ya whisky!! al the best gunaz

i will be there for u.. whatever the results

that is not a gud gamble.. anyway lets wait and see

Leo mtanena kwa LUGHA zote kama Nabii Mwingira (Kakobe);lakini...............(Narudi hapa badae kidogo na jibu lenu)
 
jamani leo SONG hayuko badala yake Sir Wenger amesema defending midfielder itazibwa na Diaby au Denilson kwa mtazamo wako nani unaona aanze maana tunayo kazi pevu pale Nou camp!

Denilson ni better option,diaby ana ball control nzuri sana lakini huwa anapooza sana game,ni mzito wa kuchukua maamuzi ya haraka hasa kwenye counter attacks,bw mdogo denilson ni mwepesi,ana pumzi ya kutosha, ana uwezo wa kuhold mashambulizi ingawa anakuwaga na rafu za hapa na pale nampa tano aanze yeye kama vp diaby aingie kama sub%%
 

nakubaliana na wewe
 
We're capable of beating any team in the World even in their house. It'll be a very costly mistake today if we play a defensive game. GO GUNNERS GO!
 
khe khe khe khe nasikia wanoko flani wa timu ya Manure na Chelsick ati leo hawakulala kisa wananichubiri wakati wa huu mpambano Wacha muda ufike ndipo watakapojua zipi ni mbivu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wachezaji wetu hawanywi togwa wanapokwenda kwenye mpambano wala kubugia unga. Si mliona jinsi togwa ilivyomuharibu Wine Romney na Nani? Au vile cash Cole anavyowatungua mashabiki wa mafioso khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mmmmmhhhh Belinda, unataka tu kuja kushinda hapa usiku ukitoa pole, lets wait and see....Arsenal Oyeee!!!

Yani nimeanza kushinda thread hii kuanzia asubuhi, usiku ndio sitaondoka kabisa kuomboleza nanyi!!...Michelle naomba usikimbie wakati wa mechi!!..Barca Juu!!
 

Wacha1 leo mapicha usiache kubandika baada ya mechi dhidi ya Barca..Manure tutakuwa nanyi kuomboleza🙂) eniwei, hatuombeani mabaya ha ha ha ....ni kandanda tu au siyo!!..
 
wachezaji wetu hawanywi togwa wanapokwenda kwenye mpambano wala kubugia unga. Si mliona jinsi togwa ilivyomuharibu Wine Romney na Nani? Au vile cash Cole anavyowatungua mashabiki......

Walikunywa wanzuki sike ile Curling Cup Final. Bila shaka leo watakunywa gongo kabisa
 
Yani nimeanza kushinda thread hii kuanzia asubuhi, usiku ndio sitaondoka kabisa kuomboleza nanyi!!...Michelle naomba usikimbie wakati wa mechi!!..Barca Juu!!

sina historia ya kukimbia Belinda.....nitakuwepo hapa labda kuwe na sababu ya msingi sana.....Arsenal juu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…