Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
unabishana na sky sport kuwa arsenaal haikupeleka ofa kwa zaha? tena ilikuwa enz za unai, arsenal waka opt kwenda kwa pepe...TBF Sijawahi ona kuhusu Arsenal kupeleka ofa kwa Zaha isipokua mara nyingi ikifika dirisha la usajili lazima Zaha atasema anaipenda Arsenal na anataka kuichezea.
Also the reason sikuwazia huu uwezekano ni story iliyopo kati ya United, Zaha na Arsenal ambayo inasababisha Zaha asifuatwe na Arsenal hata iweje.
TBF maana yake ni To Be Fair.unabishana na sky sport kuwa arsenaal haikupeleka ofa kwa zaha? tena ilikuwa enz za unai, arsenal waka opt kwenda kwa pepe...
Tena sky sport waliiripoti wakiitoa kutoka kwa fabrizio ,maana ni mfanya kazi wao
Arsenal have reportedly made a bid of £40 million to sign Crystal Palace winger Wilfried Zaha, a player the Eagles value at twice that amount. According to Sky Sports,
Umesema kesho utaleta strength na weaknesses za xhaka, sasa mimi nikajua upo busy huna muda ila hapa naona unaendelea kuchangia kwa kuandika makala ndeeefu!... Kumbe muda unao wa kitosha kabisa... Basi kesho nenda google udownload madesa.... Kwa kuwa ulinitukana, nakukaribisha tena ubwabwaje matusi yako, si unajua domo limezoea kutukana tukana...Kama ambitions zao sio sawa na za club usitarajie kuendelea kuwaona hapo, miaka mitatu ijayo hawatataka tena kucheza kwa ajili ya pride bali mataji, na wataenda kwenye team zenye nia na mataji.
Mwisho wa uchezaji mchezaji hatawainesha wanae video za wakati akikipiga atataka awaoneshe medali alizoshinda sambamba na hizo video.
Zaha anawafikia kwel saka na mattinelliunabishana na sky sport kuwa arsenaal haikupeleka ofa kwa zaha? tena ilikuwa enz za unai, arsenal waka opt kwenda kwa pepe...
Tena sky sport waliiripoti wakiitoa kutoka kwa fabrizio ,maana ni mfanya kazi wao
Arsenal have reportedly made a bid of £40 million to sign Crystal Palace winger Wilfried Zaha, a player the Eagles value at twice that amount. According to Sky Sports,
Aah! Wapi.Zaha anawafikia kwel saka na mattinelli
Umechagua Angle,Umesema kesho utaleta strength na weaknesses za xhaka, sasa mimi nikajua upo busy huna muda ila hapa naona unaendelea kuchangia kwa kuandika makala ndeeefu!... Kumbe muda unao wa kitosha kabisa... Basi kesho nenda google udownload madesa.... Kwa kuwa ulinitukana, nakukaribisha tena ubwabwaje matusi yako, si unajua domo limezoea kutukana tukana...
Haina noma yeye hacheziMikel Arteta will not be available vs Manchester City game baada ya kupata COVID 19 [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Walau hata kama tukifungwa Kocha hahusiki hapo ni sisi wenyewe,Mikel Arteta will not be available vs Manchester City game baada ya kupata COVID 19 [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Uwepo wake uwanjani una umuhimu mkubwa vs top team kama Manchester City hasa kimbinu huyo msaidizi sijui sasa ataendaje na mbinu kwenye big game kama hiiHaina noma yeye hachezi
Una IQ kubwa?Achana nae huyo Lokonga ana IQ ndogo hajui lolote kuhusu Mpira hawa ndio wale fans mandaz mfuata upepo akiambiwa geuka kulia anageuka move mbele anaenda mimi mtu wa Low IQ kama huyu simjibu kamwe
Tuko pamoja katika hili Mkuukama timu ina malengo makubwa ,xhaka hafai kuw starter kwa kila mechi lkn anaweza kuw sub nzuri yan bench warmer player kulingana na game itav kuw inaendlea..
madhaifu yake makubwa uwnjani ni :
lack of discipline
lack of concentration
maturity level yake ipo chini mno.
Nakupata vizuri Mkuu kwenye hili na kama Arsenal siku za karibuni itafkia hatua za kupambania kombe la ligi kuu basi ndio utakuwa mwisho wa Xhaka katika first eleven, Mtu mrefu ujijua pindi anaposimama na Mtu mfupiLokonga kutokupata namba mbele ya xhaka, ndio kwamba xhaka ni mzuri?
"Kukosekana kwa waganga watu wanapungwa na walevi"
Ndio hatuna tu mtu wa maana lakini xhaka hana huo ubora katika timu zinazogombea ubingwa xhaka anaanza kikosi gani?
Kumbe hatupambanii kombe?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] tunasindikiza ligi tu?OK ok ohh right [emoji736]Nakupata vizuri Mkuu kwenye hili na kama Arsenal siku za karibuni itafkia hatua za kupambania kombe la ligi kuu basi ndio utakuwa mwisho wa Xhaka katika first eleven, Mtu mrefu ujijua pindi anaposimama na Mtu mfupi
Kwa sasa anatufaa kulingana na mahitaji ya team na aina ya wachezaji tulionao katika position yake, kwa makosa aliyonayo Xhaka hakuna team kubwa yoyote ambayo ipo katika mbio za ubingwa inaweza kumweka ata sub tu achilia mbali first eleven
kama ujapona sema tutakuchangia tena kama mwanzon ukamalizie topic ulzobakiza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]Itakuaje sasa kama haujapona?
Kwa maneno yake Bwana StanKumbe hatupambanii kombe?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] tunasindikiza ligi tu?OK ok ohh right [emoji736]
Ni kwel mkuu lakini sio asilimia kubwa akiwepo timu itashindaUwepo wake uwanjani una umuhimu mkubwa vs top team kama Manchester City hasa kimbinu huyo msaidizi sijui sasa ataendaje na mbinu kwenye big game kama hii
Bob hautakiwi kunilaumu mimi kwa uchizi wakokama ujapona sema tutakuchangia tena kama mwanzon ukamalizie topic ulzobakiza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
sisi tunaishig vzr na nyie usijitenge' uje leo uangalie mabingwa wanakipiga saa4Bob hautakiwi kunilaumu mimi kwa uchizi wako
Toka hapa juzi na jana vinega viwili vinafundishwa na wazee wa gegen press vimenyooshwa. Nawaangalia tu.sisi tunaishig vzr na nyie usijitenge' uje leo uangalie mabingwa wanakipiga saa4