Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Welcome genius
 
Umeulizwa endapo kafungwa na top six wote alafu akachukua ubingwa utasemaje?..

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Wajameni kiporo cha spurs kimechacha huko.

Vibonde Soton wakiwa na wachezaji kumi Spurs wamedondosha 2 points.
 
We jamaa bana una matatizo ya kusahau sana sio bure, hayo maneno ni wewe ambae uliwambia jamaa ambae alikwambia kuwa Man u mara ya mwisho kumfunga Arsenal ilikuwa ni 2018 hadi ilipoifunga Tena msimu huu we ukamwambia wakati Man u anaifunga Arsenal Dec 2 Old Trafford ulikuwa umelewa? Ulikuwa umelala?

Mei nilipokuja kukujibu ndio nikakurudishia hayo maneno uliyomwambia jamaa kwakuwa ulimzodoa mshkaji ilihali ye Yuko sahihi, maana ni kweli Arsenal ilikuwa haijafungwa na Man u since 2018 hadi ilipotokea msimu huu ila we ukaja kumbishia

Hadi hapa mkuu nachelea kusema ni kweli we jamaa ni mgumu sana kuelewa na una kasumba ya ubishi, Yani kama hadi hayo maneno yako mwenyewe unasahau kama ndie ulieyaleta na kuniuzia mie case, inashangaza aisee
 
Umeulizwa endapo kafungwa na top six wote alafu akachukua ubingwa utasemaje?..

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kufungwa na Top 6 means umepoteza point 18 mkondo wa Kwanza na Zingine 18 mkondo wa pili.

Mazee point 36 ukizipoteza zote ubingwa jitoe tu. Labda itokee dhahama ambayo sio rahisi.

Ukipoteza 36 kwa uhakika hata hao wadogi wenzio huna uhakika wa kuwafunga wote so hapo tunaongea wastani wa point 55+ zimepitea.

Katika point kabla ligi kuanza 114 ukitoa 55 unabaki na 59 zinazotosha kukubakiza kwenye ligi na sio Top 4. Nanhapo hata nafasi ya europa umeikisa.

Mazee ili kuwa bingwa hesabu za point kutika Shit, Manyua, Cheksea, Fools, Spurs and Co lazima uzichukue ili kuwapunhuzia wao point na pia kujihakikishia nafasi ya kupapatuana nao pale juu.

Vinginevyo tuendelee na furaha ya kumfunga Norwich inatisha la ubingwa ni ndoto ya mbali sana hii. Tusahau kutokea
 
Gentleman opinion.

Sasa tubishane kwa hoja na sio mashambulio, sisi wote ni Arsenal hakuna sababu ya kushambukiana, ukiona jambo hulijui na kuna aibu namna ya kuuliza zama chimbo kasome kisha njoo jukwaani tuongee
Umeongea vizuri sana mkuu na hiyo ndio njia nzuri ya kufikia mwafaka na kujifunza pia, nikuombe tu upitie post zangu humu nilizochangia kwenye issue ya Xhaka na issue ya Arsenal kumfunga Man City naamini hakuna sehemu yoyote nilichokiongea sikijui au sina uhakika nacho maana mie kabla ya kuja kuandika au kubishana lazima niwe na uhakika wa Jambo husika

labda nikukaribishe wewe unipinge kwa hoja juu ya maoni niliyotoa, sikumbuki kama kuna sehemu mie na wewe tumeongelea swala la Xhaka ispokuwa ilikuwa ni mie na mshkaji hapo juu, kwahiyo ushauri wako wa kunambia nikiona Jambo silijui inabidi nikachimbe kwanza ndo nirudi kuandika nadhani ungemfaa sana mwenzetu ambae anabisha tu bila facts na sio mie maana me naandika kitu ambacho nina uhakika nacho na pia ni Facts
 
Siku nikitulia nitakuja na andiko la Xhaka juu ya uzuri wake na Ubaya wake ukiwa umebebwa zaidj na Madness zake zinazoigharimu team kuliko kiwango chake, maana mengi anayoyafanya hayahusiani na uwezo wake ambao kila mtu hana shaka nao.


Andiko litakuna manta shaka.

Ila ushauri wa kusoma kabla ya kuandika haukukulenga moja kwa moja ingawa kwa kukoti andiko lako imrmaanisha umehusika moja kwa moja. But haikuwa hibyo bali ilikuwa kwa ajili hetu wote.

Tusipost mawazo yasiyo na facts maana ukikosa facts vhallange kidogo tu mtu huishia kupanic na kushambulia watu na IF zao.
 
Nimekupata Mkuu
 
Kwa kifupi Pepe na Maximin ni modern day Okocha timu ipo kwenye move ila mipira ilikua ikifika kwa okocha inapoa, move inakufa.

Ati Maximin aje Arsenal
Mbona alishakuwa kwenye list pamoja na Pepe, Zaha labda kama hufatilii, mwisho wa picha tukamsajili Pepe matokeo yake ndio hayo tunayaona leo
 
Dogo, acha kuita wenzio maboya,huna sababu ya kufanya hivyo......umeshindwa kujibu hoja kaa kimya nalo ni jibu zuri tu

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Mbona alishakuwa kwenye list pamoja na Pepe, Zaha labda kama hufatilii, mwisho wa picha tukamsajili Pepe matokeo yake ndio hayo tunayaona leo
Kuna siku Arsenal iliomba bei ya Maximin au Zaha?
 
Wewe mpira hujui kumbe, Xhaka ndio mchezaji aliye flexible in build up phases hapo Arsenal huwezi kumfananisha na yoyote, Partey anamuhitaji Xhaka kusupport first line when building play, uwezo wake wa kumove mipira haraka kwenye key areas ni ubora wake mkubwa, nenda angalia goli la Patino juzi ile pasi inapigwa kwa pepe kutoka kwake huo ndio ubora wa Xhaka, weakness yake amerely kwenye left foot zaidi

Xhaka huwezi mfananisha na LT, ni locatelli au Reuben Neves wakumreplace Xhaka sio hao wengine.

Kinachotokea sasa Arteta kamove na 433 so Xhaka plays as B2B, amekuwa anaoffer quality kwenye build up ishu he is limited offensive, kwa sasa anacheza kwenye left Half space kucover gap la KT, sasa kuexploit space in between the lines ndio imekuwa shida kwenye offensive duties. Yaani kiufupi kapewa role ambayo ilitakiwa ifanywe na fundi Houssem Aouar.
 
Pamoja Mkuu ni kweli me sijui Mpira
 
Duh hizi tunafanya small talk sasa
Sasa kama hawakuwahi hata kuomba bei hiyo big talk ya Arsenal kumtaka Maximin au Zaha wewe umeitoa wapi?

Rafiki wa karibu na Zaha alipost video akiwa yeye na Zaha akiwaambia Arsenal wamsajili. Ulisikia Arsenal hata ilijisogeza kwa Crystal?
 
Kuniita Boya hujui hata Umri wangu huo ni Uboya kama Maboya wengine.
Kwa uandishi wako tu unaonesha na unajipambanua wewe ni rika gani,hebu rudia kusoma ulichokiandika kwanza halafu ndio utaamini kuwa sijakosea kukuita dogo....hebu nioneshe wapi nimekuita boya....

Hizi shule za kata bora zifunguliwe,


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako ni moja huwezi kusema kitu ambacho kinaeleweka ili mtu akajifunze kwa kufuatilia unachokisema. Pia hoja zako zote huwa hazina fact za kimpira ambazo mtua anaweza kukaa na kuanza kuzifuatilia ili kuona km ni kweli kinachosemwa ndicho kinachofanyika au la.

Hata hapa ulipo niquote nadhani pia hukuelewa. Hapa nilikuwa namwambia huyo ndg baada ya kusema kafunga mjadala na hataki kubishana kwahiyo mimi nikawa namweleza kwamba kupitia ubishi ndipo tunapojifunza maana mwenzako atasema hiki na wewe utasema kile hivyo utapata fursa/wasaa wa kufuatilia kilichokuwa kinasemwa na opponent wako ili uhakikishe kuwa alichokuwa anakitetea ndicho kinachotokea au anamis-interpret.
 
Mkuu tatizo lenu ni kwamba hamleti facts badala yake mnaruka ruka tu ndio maana watu wanawaona miyeyusho. Km kweli wewe una facts za kimpira ebu tueleze ni weakness zipi za Xhaka ambazo ukienda kuangalia gem 3 mfululizo lzm uzione toka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…