computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana Arsenal kwa sasa haina utofauti na kina West Ham au Leicester kama unamanisha kuwa mabosi wakiangalia takwimu ulizozitaja licha akipata points 0 katika Top 3 (home and away games) hawawezi kufanya maamuzi magumu ndio maana timu ikiifunga Norwich Leeds fans wachache wanajiona kombe la EPL wamelibeba motherfanta Kroenke anapenda sana fans kama nyie msimu huu tumefungwa na Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United ambao ni top wenzetu then bado unasema ni kawaida inawezekana kuna nati kichwani kwako imelegea inabidi ikazweHivi wapi hauelewi.
Nimeandika hivi:
ARSENAL TULIKUA TUKIDROP POINTS KWA HAO HAO AMBAO SIYO BIG TEAMS.
SASA HIVI TUNA UHAKIKA WA KUSHINDA AGAINST HAO MID TABLE.
TIMU YAKO PSG IMEDROP POINTS KWA CITY.
Hata kama hautaki tuongelee past ukaniambia tuongelee wakati huu sasa hivi bado takwimu zinambeba Arteta.
- Arsenal ni ya 3 kwa clean sheets.
- Iko ndani ya top 10 kwa most chances created.
- Iko ndani ya top 10 kwa timu iliyoshinda magoli mengi.
- Ni ya tatu kwa kushinda nyumbani.
- Arsenal ni ya 4 kwenye msimamo, ipo Carabao na ipo FA.
- Anahitaji kushinda games mbili ili kujaribu kupambania nafasi ya 3.
- Ipo top 10 kwa timu zilizoconcede magoli machache.
- Ipo top 10 katika timu zilizofanya clearance nyingi.
- Ipo top 10 kwa timu zilizowin pasi za mpinzani in our own half.
Hivi vitu ndiyo vitasababisha uendelee kumuona sana Arteta akiwa kocha wa Arsenal, wanaomlipa mshahara hawaangalii hizo stori za city au big teams.
Go figure.
Muda huu mi akili imeshahama najadili juu ya united kushindwa maintain clean sheet.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana Arsenal kwa sasa haina utofauti na kina West Ham au Leicester kama unamanisha kuwa mabosi wakiangalia takwimu ulizozitaja licha akipata points 0 katika Top 3 (home and away games) hawawezi kufanya maamuzi magumu ndio maana timu ikiifunga Norwich Leeds fans wachache wanajiona kombe la EPL wamelibeba motherfanta Kroenke anapenda sana fans kama nyie msimu huu tumefungwa na Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United ambao ni top wenzetu then bado unasema ni kawaida inawezekana kuna nati kichwani kwako imelegea inabidi ikazwe
Sio komedi thats the fuckin truth TOP 3 games tuna Manchester City and Liverpool home and Chelsea away we need to score and gets the results kama tutapigwa in those 3 matches yatakuwa ni yale yale ya miaka 10 consecutive for example Arsenal conceded 4 goals against Liverpool and 3 goals against Manchester United juzi juzi hapa then unaona ni comedy ?that's nonsense we need to get 3 or 1 points against those bigger teams bro watu wote duniani wanasubiria that game unafikiri Arsenal akilose kisingizio kitakuwa ni nini? Even 1 point ni muhimu then tutasema timu ina improve otherwise ukimfunga Norwich Leeds then unasema kuna improvement utakuwa unafurahisha jukwaa siku ziende ShitMuda huu mi akili imeshahama najadili juu ya united kushindwa maintain clean sheet.
Hii komedi yako tukutane nayo kesho
Nieleweshe Mahali unaposema Arsenal alikuwa anadrop points dhidi ya timu ndogo ni lini ?nikumbushe navyojua 1996 up to 2020s Arsenal hakuwa anadondosha points dhidi ya small teams nikumbushe na niambie coach alikuwa ni nani wakati Arsenal akidondosha those points against small teams nikumbusheHivi wapi hauelewi.
Nimeandika hivi:
ARSENAL TULIKUA TUKIDROP POINTS KWA HAO HAO AMBAO SIYO BIG TEAMS.
SASA HIVI TUNA UHAKIKA WA KUSHINDA AGAINST HAO MID TABLE.
TIMU YAKO PSG IMEDROP POINTS KWA CITY.
Hata kama hautaki tuongelee past ukaniambia tuongelee wakati huu sasa hivi bado takwimu zinambeba Arteta.
- Arsenal ni ya 3 kwa clean sheets.
- Iko ndani ya top 10 kwa most chances created.
- Iko ndani ya top 10 kwa timu iliyoshinda magoli mengi.
- Ni ya tatu kwa kushinda nyumbani.
- Arsenal ni ya 4 kwenye msimamo, ipo Carabao na ipo FA.
- Anahitaji kushinda games mbili ili kujaribu kupambania nafasi ya 3.
- Ipo top 10 kwa timu zilizoconcede magoli machache.
- Ipo top 10 katika timu zilizofanya clearance nyingi.
- Ipo top 10 kwa timu zilizowin pasi za mpinzani in our own half.
Hivi vitu ndiyo vitasababisha uendelee kumuona sana Arteta akiwa kocha wa Arsenal, wanaomlipa mshahara hawaangalii hizo stori za city au big teams.
Go figure.
We na wewe sasa unakua miyeyusho.Sio komedi thats the fuckin truth TOP 3 games tuna Manchester City and Liverpool home and Chelsea away we need to score and gets the results kama tutapigwa in those 3 matches yatakuwa ni yale yale ya miaka 10 consecutive for example Arsenal conceded 4 goals against Liverpool and 3 goals against Manchester United juzi juzi hapa then unaona ni comedy ?that's nonsense we need to get 3 or 1 points against those bigger teams bro watu wote duniani wanasubiria that game unafikiri Arsenal akilose kisingizio kitakuwa ni nini? Even 1 point ni muhimu then tutasema timu ina improve otherwise ukimfunga Norwich Leeds then unasema kuna improvement utakuwa unafurahisha jukwaa siku ziende Shit
Kocha hakuwa Wenger lakini tunakubalina na hili kwanza? Answer me?because Wenger hakuwa na back passes never ever na nkaongezea tatizo la Arsenal for 10 consecutive years tatizo lilikuwa ni kupata points 3 against big teams na problem bado ipo tangia Wenger hadi sasa but Wenger hakuwa na back passes right bro?bro Wenger kwa miaka zaidi ya 15 alishindwa kupata ubingwa refer 2016 ambao aliishia kuwa second position unajua why?Leicester alipata points nyingi vs Big teams na Arsenal akashindwa kupata points vs top teams bro unajua kabla hujaongea Jipange don't talk nonsense unasema we need to get points against whole league sasa utazipataje wakati ukikutana na wakubwa wenzako unafeli?for example this season tumepata 0 points against top 3 teams broWe na wewe sasa unakua miyeyusho.
Hivi wakati Arsenal analose against mid table teams ulikua haujaanza kufuatilia mpira?
Back passes na sideway passes zinapigwa kila mechi matokeo hayapatikani ulikua haujaanza kufuatilia mpira?
Unakomalia kwamba tunahitaji points against top 3 no we need points against the whole league but why the fvck can't we do it?
Timu ikifungwa unakua fasta kusema haushabikii Arsenal wewe ni PSG unadhani wewe ndiye una hamu sana ya Arsenal ishinde kuliko ambao hatujahamisha ushabiki?
Now listen baba yangu aliniambia ukiwa unapanga hoja na mtu na unaamini unachomuambia ni ukweli muulize ukifanya nini ataelewa hoja yako asipokujibu muignore. I once asked you this question ukashindwa kujibu.
Leo nakuuliza tena. Unataka nikuonyeshe nini na nini ili uone kwamba hiko unachohisi ni kipimo actually siyo kipimo sahihi?
Mzee either niambie nini nifanye au niassume wewe ni mbishi naturally sasa mi nakuambia matokeo ya mwaka jana wewe unamtaja Wenger upo serious kweli?Kocha hakuwa Wenger lakini tunakubalina na hili kwanza? Answer me?because Wenger hakuwa na back passes never ever na nkaongezea tatizo la Arsenal for 10 consecutive years tatizo lilikuwa ni kupata points 3 against big teams na problem bado ipo tangia Wenger hadi sasa but Wenger hakuwa na back passes right bro?
Yes that's fine bro coach alikuwa ni Arteta sio?last year ?do you agree with me now?if last year na this year results zitakuwa hazipishani so what is your point?tena bora last year angalau this year?Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United 0 points ????ubishi wangu ni nini hapa?I am telling you the fuckin truth hatutakuwa na haja ya kushangilia results if we are going to fail to get even single points against big teams wewe huitakii mema Arsenal yaani kumfunga Norwich Leeds Southampton unaona umeshinda kombe au?kipimo ni kukutana na mkubwa wako na kuonyeshana makali uwanjani bro [emoji58]Mzee either niambie nini nifanye au niassume wewe ni mbishi naturally sasa mi nakuambia matokeo ya mwaka jana wewe unamtaja Wenger upo serious kweli?
Computerarsenal haufuatilii mpira.Yes that's fine bro coach alikuwa ni Arteta sio?last year ?do you agree with me now?if last year na this year results zitakuwa hazipishani so what is your point?tena bora last year angalau this year?Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United 0 points ????ubishi wangu ni nini hapa?I am telling you the fuckin truth hatutakuwa na haja ya kushangilia results if we are going to fail to get even single points against big teams wewe huitakii mema Arsenal yaani kumfunga Norwich Leeds Southampton unaona umeshinda kombe au?kipimo ni kukutana na mkubwa wako na kuonyeshana makali uwanjani bro [emoji58]
Kosi linabakwa tu na negative goal differenceKosi la leo.View attachment 2059760
December 2 2021 at Old Trafford Manchester United alitufunga au hukuangalia mpira bro?umelewa nini bro?nimekufafanulia at least season za nyuma tulikuwa tunapata points kwa hao wakubwa but this season tumepata 0 points against Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United (ambao since 2018 hakuwah kutufunga)so improvement ipo wapi?kumfunga Norwich (20 position)Leeds(16 position)Southampton(14 position)kwa Big team kama Arsenal sio kuwa timu ina improvement sababu Arsenal haijawahi kusumbuliwa na hizo teams kwa miaka mingi broComputerarsenal haufuatilii mpira.
Umemtaja united miongoni mwa tuliokosa point wakati united hajaifunga Arsenal katika ligi tangu 2018 ushindi wake wa kwanza kaupata msimu huu.
Na unaona unachokifanya? Nimekuuliza nifanye nini yet unajizungusha tu.
So mimi na wewe hatutajadili mpira tena. Tuishie hapa.
watu wanaongea tu hadi unajiuliza wanaangalizia mpira sayari gani, xhaka asingekuwa na umuhimu asingerud XI moja kwa moja, big games zote bila xhaka partey ni ngumu sana kwetu kushinda, hata arteta analijua hilo, ndio maana game na nyumbu ilibid twende na elneny partey , angalau kati tulitulia,Acheni Masikhara wakubwa. Xhaka ni chuma ni Mtu. Mnaojaribu kumpuuza nafikiri mwana hamumsomi tu. Ameumia tu kidogo wote tukahaha humu kwa kukosekana kwake ni nani hakuliona pengo lake? Arteta ajua alipoamua kumshawishi kubaki asee au mbona baada ya kupona xhaka lokonga akawa hapati namba Mbele ya xhaka. Wakuu xhaka ni mchezaji akiamua kukichafua na pia ni mpambanaji
FACT TUPU ,licha Xhaka ana utaahira fulani kwa Big games but tukubali akiamka vizuri na akiwa amepewa penzi tamu na his wife [emoji38][emoji1]Xhaka atakichafua pale kati hadi unashangaawatu wanaongea tu hadi unajiuliza wanaangalizia mpira sayari gani, xhaka asingekuwa na umuhimu asingerud XI moja kwa moja, big games zote bila xhaka partey ni ngumu sana kwetu kushinda, hata arteta analijua hilo, ndio maana game na nyumbu ilibid twende na elneny partey , angalau kati tulitulia,
unapokuwa na xhaka partey , ndipo utawafurahia kina odegaard,rowe,saka,martinel , sababu wanajua wana bima nyuma yao
lokonga ni mzuri ila ni mwepes kupoteza mipira so inakuwa rahisi kushambuliwa, ila atazidi kuimarika sababu ana room kubwa,
most of big games tukiwa na xhaka partey tuna asilimia kubwa ya kushinda
kuna mtu nilimwambia siku akirejea xhaka wakae na partey ongezea na linkup play ya laca anayerud eneo la kiungo kupora mipira, basi utawafurahia kina odegaard,smith, saka,martinel., na ndicho kinachotokea sasa
wale watoto wetu kule mbele ni very talented ila wengi hawana strength za kupambana na mijitu ys epl, so wanahitaji bima nyuma yao,
ndio maana hizi middle teams tutazibonda sana hata round ya pili, kama tutaendelea kuwa na xhaka partey na laca , kule mbele waweke hata kina patino,
Tumeliona kosi, zile kelele zenu "......ohoooo tuna viporo vyetu vitatu........tukishinda vyote tuna wapita........." haya shindeni sasa hivyo viporo vyenu.Kosi la leo.View attachment 2059760
Sijui mmeanzia wapi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana Arsenal kwa sasa haina utofauti na kina West Ham au Leicester kama unamanisha kuwa mabosi wakiangalia takwimu ulizozitaja licha akipata points 0 katika Top 3 (home and away games) hawawezi kufanya maamuzi magumu ndio maana timu ikiifunga Norwich Leeds fans wachache wanajiona kombe la EPL wamelibeba motherfanta Kroenke anapenda sana fans kama nyie msimu huu tumefungwa na Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United ambao ni top wenzetu then bado unasema ni kawaida inawezekana kuna nati kichwani kwako imelegea inabidi ikazwe
Tarehe 1 Arsenal lazima apate 1 or 3 points otherwise utakuwa unajifariji kwa ujinga tu let's wait for the biggest game on 1st January
Mkuu we una kasumba ya ubishi tu na mgumu sana kuelewa, jamaa anajitahidi sana kukuelewesha ila tatizo lako ni kwamba umejiandaa tu kubisha ata afanye nini, nimewafatilia muda mrefu kwenye mada yenu ila nimegundua kuwa huna hoja na huna hoja kwa sababu umeamua kubisha tuDecember 2 2021 at Old Trafford Manchester United alitufunga au hukuangalia mpira bro?umelewa nini bro?nimekufafanulia at least season za nyuma tulikuwa tunapata points kwa hao wakubwa but this season tumepata 0 points against Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United (ambao since 2018 hakuwah kutufunga)so improvement ipo wapi?kumfunga Norwich (20 position)Leeds(16 position)Southampton(14 position)kwa Big team kama Arsenal sio kuwa timu ina improvement sababu Arsenal haijawahi kusumbuliwa na hizo teams kwa miaka mingi bro
Arsenal kuwa Top 4 ni kitu cha kushangaza?hell no Arsenal kuwa Top 4 ndiyo position anayoshahili kwa kipindi hiki and that's why tumepiga sana kelele 3 seasons back kuwa why Arsenal hayupo Top 4 au hata Top 2 sababu Arsenal is the biggest team in UK
Bro umeamua Tu kumchosha mwana!!!December 2 2021 at Old Trafford Manchester United alitufunga au hukuangalia mpira bro?umelewa nini bro?nimekufafanulia at least season za nyuma tulikuwa tunapata points kwa hao wakubwa but this season tumepata 0 points against Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United (ambao since 2018 hakuwah kutufunga)so improvement ipo wapi?kumfunga Norwich (20 position)Leeds(16 position)Southampton(14 position)kwa Big team kama Arsenal sio kuwa timu ina improvement sababu Arsenal haijawahi kusumbuliwa na hizo teams kwa miaka mingi bro
Arsenal kuwa Top 4 ni kitu cha kushangaza?hell no Arsenal kuwa Top 4 ndiyo position anayoshahili kwa kipindi hiki and that's why tumepiga sana kelele 3 seasons back kuwa why Arsenal hayupo Top 4 au hata Top 2 sababu Arsenal is the biggest team in UK
Unapoteza nguvu zako bure!.. Argument za huyu ndugu ni za ajabu!.. Ni Kama vile ana tatizo fulani linamsumbua, ni mbishi, hataki kushindwa, yaani haeleweki kanisa.. Arsenal tukiflop anakuwa psg, akiona tunaperform fresh anaanza kujisogeza arsenal... Hata umri wake anaonekana bado chalii mdogo kabisa, kama sio advance basi atakuwa first year au second year chuo Fulani... Bado ana utoto mwingi.. . Sie wengine hapa ni sehemu ya elimu pia maana unakuta kuna kitu hukifahamu vizuri lakini wenzako wanajua zaidi yako basi unatulia na kuingiza mambo kichwani, sio kutaka kushinda kila argument japo unaona kabisa wenzako wana hojaMzee either niambie nini nifanye au niassume wewe ni mbishi naturally sasa mi nakuambia matokeo ya mwaka jana wewe unamtaja Wenger upo serious kweli?
Kweli kabisa!.. Mimi naona Kama maajabu yanatokea.. Sikutegemea kama madogo wataadapt faster kiasi tunachoona sasaKwa Namna ambavyo Arsenal waliona wateneze Project mpya ya Vijana, Hata Top 4 ni Bonus kwa Msimu wa 2021-2022 sidhani kama ni jambo walidhani litakuja "OVERNIGHT"
Kuzifunga hizo called top 3, itakuja, Naona unakuwa Impatient computerarsenal
Arsenal kwa hapa walipo kwanza na walikotoka toka wenger aondoke THEY LOOK PROMISING
ambaye hakubali basi ni Hater