Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndoto nzuri sana hii kuiota. Next season itaanza and we will still have Xhaka and co in our midfield.
 
Juzi Spurs walivyocheza na Liva walikua wanapiga thru balls za hatari ule mpira wao kama hatutabadilika tukikutana nao watatupa tabu mno.
Spurs are always the sh**t i know hawaweza kubadilika ikikutanq na Arsenal
 
Good observation, nadhani hukunielewa, nilisema katika ile mechi waliyocheza Westham, kabla ya mechi yetu na hao Westham; kwamba ikitokea RICE akapata yellow hatacheza kwenye mechi yetu kwa sababu angekuwa na 5 yellow cards. kilichotokea hakupata hiyo kadi. Lakini pia nilisema ukimdhibiti yule bwana Westham yote inapotezana, na ndicho kilichotokea.
 
..mapambano yanaendelea..hiyo EFL..ikakaa vibaya tunapita nayo..lengo letu msimu huu ni kumaliza nne bora...#COYG
msisahau kwamba bayern yuko uefa
nyie ng'ang'anieni fedhea

Sent using motorola 78
 
Arteta alisema huu ndo mfumo wake pendwa lkn mwaka wa pili huu sioni dalili ya kuutumia japo kwa mechi baadhi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Arteta alisema huu ndo mfumo wake pendwa lkn mwaka wa pili huu sioni dalili ya kuutumia japo kwa mechi baadhi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hatuna Midfield ya kucheza 433, unahitaji controller, creator, lakini pia wawe na high defensive workrate sababu unacheza na single pivot, Arteta alijaribu 433 vs Palace na game ikaisha 2-2.
 
arteta anafanya kaz nzuri ,kuna baadhi ya wachezaji wa first team based on perfomance n muendelezo wa viwango vyao kw kila mechi ,klabu inabidi kuachana nao ili arteta apate nafas ya kusajili wengne wenye ubora zaidi ,wachezaj hao ni : niles ,elneny ,chambers ,cedric ,kolasinac ,lacca ,pepe n holding ,nafikir hao ,sio wachezaji wa kuifikisha klabu kwnye malengo makubwa zaidi!
 
Hao ndo wachezaji wa kiwango vha Mwali tuliyrnae. Huwezi leta Haaland hapa akamubali kufunfiahwa na aina hii ya Mwalimu.

Lets accept the reality.
 
Mwamba ana zaidi ya miaka tatu humu afu maturity zero kabisa ni Kuswitch tu ID
 
Dah! utabadili ID paka lini toka Milango mitatu paka huku, ifike mahali ukue, oyaa Dully Jr mwanao huyu.
Rudi nyuma nisome vyema. Hii ndo ID yangu ya kudumu, iwe najadiki siasa au michezo, tena kwa jukwaa langu la team pendwa. Mi sio kinyonga, nitafia kwa hii yram na IF yangu hii hii. Kama unateseka ni juu yako Mazee.

Ila jifunze kukubali kutokukubaliana na hoja hata kama kina mahala zinakuvhoma na kukuumiza
 
Mwamba ana zaidi ya miaka tatu humu afu maturity zero kabisa ni Kuswitch tu ID
Maturity ni kukubaliana mawazo yenu!? Mi sio boya nijihangaishe kubadili ID kisha nifaidi nini kwa kufanya hivyo. Hebu kueni kifikra, na sio lazima tukubaliane na mawazo yenu, kila mtu ana maono yake. Nikipinga mawazo yako fyokofyoko Maturity. Nadhaninahitaji kutoka kwenye hilo box la upumbavu mmefungiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…