Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie mashabiki wa man u roho inawauma kweli arsenal kufika hapo mlitarajia msimu huu muda kama huu tuwe nafasi 15 ila mambo yapo tofauti mmebaki kubweka bweka
 
Hawa ndio watu tunaArgue nao mambo ya mpira kila siku, No wonder watu wanaoelewa mpira huwa wanakaa kimya kwa Fanbase ya aina hii, inatia aibu ukiwa shabiki wa aina hii.
Unajipa shida bure kumjibu huyo milangomitatu
 
Lacazette kwa sasa yupo vizuri na ni muhimu sana kuweka bench laca tutarud kule kule .

Mm naona tuendelee na formation hii hii
Odegaard na Smith wapokezane
FACT kwa position alionao Arsenal sasa katika 3 coming matches akipata point 7 basi licha simkubali kocha wetu but anaweza akatupeleka champions league na akawa amenifunga mdomo milele
 
Umeona nini na nini? Nimeishi Sae na Mwakibete

Jana palikuwepo na baridi kali Mbeya, nikaona uvivu kwenda Mwairubi nilipopanga kuangalizia mpira, nikaamua ninunue bundle harafu niangalizie kwenye app ya DSTV. Oops mtandao mbeya is the mess, hata Vodacom haiwezi kustream mpira kwenye standard definition!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…