Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu hawaangalii moira siku hizi wanaangalia matokeo.

Ni watu wasiojua mpira au michezo
 
La #ArtetaOUT halina mjadala, jama tunahitaji kuanza kushinda tena mataji, tipate mwalimu serious wa kitufikisha huko
By mataji you mean EPL??? No let's not get our hopes high!

2023/2024- That's our season guys!

Kama tutapata nafasi ya 4 na kushinda japo EFL au FA basi itakuwa ni mafanikio makubwa kwa timu yetu. That's reality

Nimemmiss jamaa yangu isajorsergio aje tusheherekee ushindi wetu wa Jana pamoja hapa.

Let's be happy guys maana kumfunga westham this season isn't a joke
 
Acha kumfananisha Pep na vitu vyako vya ajabu, Arteta anaweza akawa mwalimu mzuri, lakini kwa Pep ni madaraja mawili tofauti.
 
Sure! Nice display kutoka kwa timu. 👏
 
That's the way to go. Score, defend and fight to score more not to only defend a goal. Well played lads and respect Laca. The penalty was well taken but of course we know what Fabianski is capable of doing when it comes to penalties.
His first penalty miss in an arsenal jersey, I haven't watched an arsenal performance of this magnitude for a long time.
 
Mimi pia nimekuwa #Artetaout na nimepunguza kucomment ili nisipate hasira juu ya huyu manager ila namtakia kila la heri maana ndiyo hivyo tena, tunaye na hatuna jinsi.
Ni ngumu kwangu kuelewa eti kwa EPL17games tayari tushapoteza mechi 6. Enzi Wenger akiwa moto kupoteza mechi 5 ni suala la season nzima. Halafu hatufungi magoli sasa. Ushindi mkubwa 3-0. Bado tuko nyuma sana kimaendeleo na sidhani yeye ndio jibu letu ila hatuna namna ingine hivyo tumpe ushirikiano tu.
 
So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka


By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi

Nina ka 50K hapa
Bado unanunua screenshot?
 
Kwanza nataka wote muelewe hii #ArtetaOut computerarsenal in hua naandika kumtania huyo jamaa. Hua sina kawaida ya kuunga mkono movt za out.

Stats za Ushindi mkubwa nafikiri umezitoa fotmob but kabla ya 3-0 ushindi mkubwa ulikua 4-2 katika ligi na kule kwingine tumeshamfunga mtu sita (au 5 sikumbuki vizuri) kikosi chetu hakina scorer aliyekua mzuri katika kuscore amekua butu.

Timu ambayo haina scorer ni ngumu kushinda goli nyingi. Chelsea pamoja na kukaba vizuri ila hawezi kupata magoli mengi kwakua waliyemtegemea, Bwana Lukaku, kumbe ni kimeo. So for now ushindi wowote inabidi upokelewe.
 
Big problem ya Arsenal is about consistency for example jana tumecheza kwa uwezo mkubwa sana Big up kwa players but Saturday vs Leeds inawezekana usiamini utakachokiona Arsenal inakosa consistency at all yesterday nani alitegemea Arsenal ataplay kwa style ile ambayo mechi nzima West Ham ana short on target 1?I repeat kwa manager tuliyenaye bado hana uwezo wa kutupeleka way forward tukapata achievements otherwise tutaendelea kujisifia kwa vimechi viwili kuwa tumeplay Nice then after two matches tunalia (Manchester United and Everton)ni examples mean Arteta anajua kuuma na kupuliza that's it
 
Ndiyo nasema chukua kazi hiyo uokoe Jahazi
 
Tatizo kubwa ni inconsistency! Arteta ni kocha bado mdogo, anajifunza so tumvumilie tu hatuna namna lakini rebuilding a team sio kazi ya mwaka mmoja au miwili, let's hold our heads high!
 
Tatizo kubwa ni inconsistency! Arteta ni kocha bado mdogo, anajifunza so tumvumilie tu hatuna namna lakini rebuilding a team sio kazi ya mwaka mmoja au miwili, let's hold our heads high!
Hivi unajua ubigwa mara ya mwisho tumebeba lini!?

Ukijua hilo hutakibaliana na hiyo agenda ya Kupeana muda ajifunze kujua kazi.

Kama hawazi jua hawezi, Pep alianza kudeliver alipopewa majikumu, Tito (RIP) Alifanya hivyo pia.

Vuka jirani hapo Chalii wa Bayern amedeliver akiwa mdogo.

Kifupi Arteta is not Good enough!
 
Fanya reference ya Klopp na Liverpool mkuu!
 
Fanya reference ya Klopp na Liverpool mkuu!
Msimu wake wa pili Kloop was very close na epl ila akanyanyua CL, Msimu wa Tatu akanyanyua EPL. Do you see Arteta anyway close na chochote kati ya hivyo nimevitaja hapo juu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…