Vilabu vinavyoshiriki Ligi Kuu England vimeingia hofu ya msimu huu kufutwa na sababu kubwa ikiwa ni kusambaa kwa kasi kwa virusi vya Omicron huku utoaji chanjo kwa wachezaji ukiwa unaenda taratibu.Usiku wa jana zilipatikana kesi 42 za virusi hivyo ikiwa ni rekodi kubwa kwa wiki.
Auba alipewa kitambaa kutoka kwa xhaka ambae alipokonywa sababu ya utovu wa nidhamu leo hii Auba nae ni mtovu wa nidhamu hili timu leo haina tofaut na matimu yanayocheza ndondo cup
Auba alipewa kitambaa kutoka kwa xhaka ambae alipokonywa sababu ya utovu wa nidhamu leo hii Auba nae ni mtovu wa nidhamu hili timu leo haina tofaut na matimu yanayocheza ndondo cup
Lacca, Gabbi or Tierney. Mmoja wao anaweza kupewa armband. Japo kama Lacca anapewa basi itakuwa till end of the season, kwangu Gabriel anaonekana natural leader japo hatujui off the pitch yukoje na communication skills zake, let's wait n see.