Pengine kafanya hivyo makusudi. Akitarget kurudi kwenye game yenye changamoto zaidi.A booking for Rice, will see him missing the next match. Mnanielewa ndugu zangu?
Utaelewa tu. Nakuaminia kinaboDah, we mduanzi hapa umeniacha.
Kwakua napenda fasih, nitarudia mpaka nikuelewe.
Arteta afukuzwe kazi Wednesday kama atashindwa kumfunga West Ham first of all tumepata chance ya kuwa above West ham if tutashinda na tukifungwa means Team 4 zote za juu zitakuwa zimetufunga means haitakuwa sawa kwa Arsenal kufungwa na team zote za juu hapoPengine kafanya hivyo makusudi. Akitarget kurudi kwenye game yenye changamoto zaidi.
Apparently timu zishajua kwamba zikishambulia non stop Arsenal inashindwa kuhimili so hawatokua na Declan ila watahakikisha hawakauki golini
Westham, ukiweza kumdhibiti Rice imedhibiti timu nzima ya Westham. yeye ndie supplier wa mipira kwa akina Bowen, na Antonio. Ni nani anaweza kumkaba man2man huyo jamaa? Xhaka/Partey?Arteta afukuzwe kazi Wednesday kama atashindwa kumfunga West Ham first of all tumepata chance ya kuwa above West ham if tutashinda na tukifungwa means Team 4 zote za juu zitakuwa zimetufunga means haitakuwa sawa kwa Arsenal kufungwa na team zote za juu hapo
Chance tulikua nazo mbili againsta united na everton.Arteta afukuzwe kazi Wednesday kama atashindwa kumfunga West Ham first of all tumepata chance ya kuwa above West ham if tutashinda na tukifungwa means Team 4 zote za juu zitakuwa zimetufunga means haitakuwa sawa kwa Arsenal kufungwa na team zote za juu hapo
Kinabo tu huyo hata Maddison tuliaminishwa ni hatari hadi Arsenal tukawa interested baada ya dirisha la usajili kukata umemsikia wapi tena Maddison?Westham, ukiweza kumdhibiti Rice imedhibiti timu nzima ya Westham. yeye ndie supplier wa mipira kwa akina Bowen, na Antonio. Ni nani anaweza kumkaba man2man huyo jamaa? Xhaka/Partey?
Kwa wapiga nyundo jiandae kusaga meno, kuna jamaa wanamuita Antonio, sio mtu mzuri yule jamaa, hachelewi kukugombanisha hata na mkeo, na kukufanya ulale mzungu wa nne mpaka asubuhi.Kinabo tu huyo hata Maddison tuliaminishwa ni hatari hadi Arsenal tukawa interested baada ya dirisha la usajili kukata umemsikia wapi tena Maddison?
Nafikiri forward ya Westham imekua nzuri sana. Utawafunga na wao wanakufunga vile vile, hii forward inastahili sifa kuliko mtu mmoja.
Kwa ulichofanyiwa na wagonga nyundo lazima uwakumbuke tuKwa wapiga nyundo jiandae kusaga meno, kuna jamaa wanamuita Antonio, sio mtu mzuri yule jamaa, hachelewi kukugombanisha hata na mkeo, na kukufanya ulale mzungu wa nne mpaka asubuhi.
Ilikuwa hivi, mkata miti alienda msituni na kipande cha shoka kwa lengo la kukata miti, miti ilipomuona ikacheka sn kwamba hakuna uwezekano wowote wa kufa, mkata miti akarudi nyumbani na masononeko sana, siku nyingine akaenda tena lkn hali ikawa ile ile miti ilicheka sana.Dah, we mduanzi hapa umeniacha.
Kwakua napenda fasih, nitarudia mpaka nikuelewe.
Arteta apewe muda.Arteta afukuzwe kazi Wednesday kama atashindwa kumfunga West Ham first of all tumepata chance ya kuwa above West ham if tutashinda na tukifungwa means Team 4 zote za juu zitakuwa zimetufunga means haitakuwa sawa kwa Arsenal kufungwa na team zote za juu hapo
Apewe muda ndiye atakayetuvusha.Chance tulikua nazo mbili againsta united na everton.
Jana everton kafungwa tatu na crystal palace.
Hiki kikosi kina shida na shida siyo kocha kwa 100% na hata percent chache za makosa yake kwangu mimi siyo makosa tactical ila naona anashindwa kuwafanya wachezaji wacheze kwa kujituma na wawe na hamu ya kushinda hii ndiyo shida yake.
Labda dunia iumbwe upya.16 bora UEFA inapangwa leo sijui Arsenal mtapangwa na timu gani ???View attachment 2042507
Let's wait and see broWestham, ukiweza kumdhibiti Rice imedhibiti timu nzima ya Westham. yeye ndie supplier wa mipira kwa akina Bowen, na Antonio. Ni nani anaweza kumkaba man2man huyo jamaa? Xhaka/Partey?
This is another golden chance tusipoitumia itakuwa ni Joke of the year 2021,three times tutakuwa tumepata chance kisha tumeshindwa na Arsenal ni big team inatakiwa ikae hapo juu ya West Ham licha nao kwa two seasons in a row wamekuwa wanapambana sanaChance tulikua nazo mbili againsta united na everton.
Jana everton kafungwa tatu na crystal palace.
Hiki kikosi kina shida na shida siyo kocha kwa 100% na hata percent chache za makosa yake kwangu mimi siyo makosa tactical ila naona anashindwa kuwafanya wachezaji wacheze kwa kujituma na wawe na hamu ya kushinda hii ndiyo shida yake.
Ole aliwapa nini? Mlimpa muda na akili zenu awashikieApewe muda ndiye atakayetuvusha.
Heheheheeee Arsenal ni big team? Mkuu uko serious? Nitajie big team ambayo haina UEFA au japo Europa.This is another golden chance tusipoitumia itakuwa ni Joke of the year 2021,three times tutakuwa tumepata chance kisha tumeshindwa na Arsenal ni big team inatakiwa ikae hapo juu ya West Ham licha nao kwa two seasons in a row wamekuwa wanapambana sana
Hao arsenal wanajipa matumaini tuu hawana tofaut na Newcastle UnitedHeheheheeee Arsenal ni big team? Mkuu uko serious? Nitajie big team ambayo haina UEFA au japo Europa.
Newcastle kwa ss ni kubwa kuliko Arsenal.Hao arsenal wanajipa matumaini tuu hawana tofaut na Newcastle United
Hasira za Arsenal naenda kuzimalizia kwako kwenye Champions leagueHeheheheeee Arsenal ni big team? Mkuu uko serious? Nitajie big team ambayo haina UEFA au japo Europa.