Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liva ni wa pili kwa timu zilizoshinda mechi nyingi ugenini. Factor ya kua home haifanyi kazi mbele ya timu yenye rekodi hiyo.

Hata United na Liva ni derby. Chelsea na Crystal Palace ni derby.

Ni viashiria vidogo vidogo kama hivi vinavyoweza kukupa picha nzima.
 
Shida ya Pepe ukimpa tu Imani, anaku disappoint muda wowote
Ana pace na skills shida yake ni kuganda na mpira muda mrefu unnecessarily, finishing na curving ability ndogo.

Niliamini atabadilika over time ila imekua kinyume kwa umri wake ilitakiwa awe katika prime lakini inakua kinyume.
 
Lokonga kucheza vizuri inategemea na pressure ya mechi itakuwaje, lakini tunahitaji sana his line breaking passes kuunlock united's block. Kama United wakiwa quick in transition Lokonga atafeli, itakuwa bora kuanza na El neny ambaye ni mzuri kwenye settled possession

United kutufunga wanahitaji vitu vinne kama walivyofanya Liverpool.
1.Pressing well our play out
2.Win all duels(ground/ aerial)
3.Win second ball
4.Good in counterpressing,
Wakifanya hayo tunakufa nyingi tu sababu quality wanayo, wakishindwa tunawaua sisi...
 
Ukicheza 3 4 3 hata weaknesses za Lokonga zitazibwa
 
Let's meet after the Match Arteta leo ana mtihani Big matches zote kapoteza vs Chelsea Liverpool Manchester City what about Manchester United?let's wait and see na leo mechi imekaa kimashaka mashaka
 
Ukicheza 3 4 3 hata weaknesses za Lokonga zitazibwa
Kivipi?

Imo Lokonga is not technically secure when opponents' pressure is higher, Anagive many sloppy balls away in dangerous area. Anahitaji an increased time/space for maturity decision making ndio maana anafanya vizuri against smaller side ila ni suala la muda maana bado junk.
 
Fiorentina president Commisso: “I don’t know if Juventus are able to sign Vlahovic in January. But I wanna say to Juventus or Arsenal that we [Fiorentina] are the ‘owners’ of Vlahovic. They should open talks with us - not with his agents”, he told Radiotutticonvocati. 🇷🇸🟣 #Juve #AFC

Fabrizio Romano

Inaonekana tunaweza kumchukua huyu dogo endapo tukiweka dau la kushawishi
 
Katika 3 4 3 wingbacks na wings wanaweza kufanya recovery ya mpira atakaopoteza CM kwa haraka kwakua 3 4 3 inaruhusu kufanya low block kuanzia hapo kati na defense.

United haina mid ngumu sana kulinganisha Liva na City na siyo kwavile they are of poor quality ni kwavile former coach hakua mzuri katika kuharness quality ya wachezaji wake. Unless they have changed that within his departure but I think we are good.

Kama tungekua na lethal forward na timu inayosogea mbele makosa ya Lokonga yasingekua tatizo kubwa.
 
Dogo kagoma kuja Arsenal.

Na ninamkumbuka Arteta alisema anahitaji mchezaji ambaye atakua proud kuja pale na ambaye akionyeshwa project ya timu ajione akifit in na siyo kuanza kubembelezana kwa pipi na bagia.
 
Dogo kagoma kuja Arsenal.

Na ninamkumbuka Arteta alisema anahitaji mchezaji ambaye atakua proud kuja pale na ambaye akionyeshwa project ya timu ajione akifit in na siyo kuanza kubembelezana kwa pipi na bagia.
Basi tuachane nae
 
Arteta, tonight he is in it again; he lost against Chelsea, Manchester City & Liverpool with big margins, will the same repeat tonight at OT?

He always indecisive when facing serious title contenders hence drop points willingly.

Arteta has no any European nights either hence his team has no excuse at all other than producing good results tonight.

UTD is also doing badly domestically but with managerial change it might be bad for us in the Chilly Manchester.
 
Akifungwa leo hii kwa atakayeendelea kumtetea atakuwa ana kichaa cha mbwa keshapoteza Big games dhidi ya Chelsea Liverpool Manchester City and even Manchester United apoteze?let's wait
 
Akifungwa leo hii kwa atakayeendelea kumtetea atakuwa ana kichaa cha mbwa keshapoteza Big games dhidi ya Chelsea Liverpool Manchester City and even Manchester United apoteze?let's wait
Ndio hata kama upo vibaya kiasi gani, unashindwa hata kutoa sare against those big 4?
 
TAVARES is a Chaos : IAN WRIGHT
Ian Wright:

“Tavares can do anything because he is chaos. He can go left, he can go right and I’m looking forward to seeing him against Aaron Wan-Bissaka.

“He causes so many problems. There is so much to be excited about Tavares at the moment”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…