Arsenal (The Gunners) | Special Thread

This Thursday we meet Man United, Saka's injury will be assessed today, but Martinelli could fill his gap in case of any fitness issue. Yesterday Man United looked an improved side. Interim manager was at work through Darren Fletcher. We should not underestimated them considering that they will be at home.
 
Lil trick facing a team that has just introduced a new coach we have few positives tho the main being Maguire playing in that game.

If Tierney is fit I think 3 4 3 is a better formation against united. This is because there will be a need to overcrowd a mid so as not to pressure Lokonga also we have two pacey fullbacks who can play as wing backs effectively.

This formation will counter their 4 3 1 2 and pacey Sancho will be contained thus reducing unnecessary threats from his runs.

Scoring will not be shouldered to Auba alone and it will be easier to press high up on the pitch.
 
I see a need to play young players, I am starting to question the concentration of aged ones (offensively). Martinelli should start, If he works well with White he can easily pick his longballs, with his running speed, he could either score goals or forces MU back players not to move forward. Pepe when in form could have impact on the other flank.
Auba's missed goal with Newcastle was a result of luck of concentration.
 
Ni ngumu sana kujua anachotaka computer mimi niliacha sooner baada ya kuona anaandika sana mazingaombwe. Ni sahihi kila mtu kua na mawazo yake ila kama kila mtu anakuambia mawazo yako ni miyeyusho take a step back yaangalie tena.

Week in week out computerarsenal anachagua tu week hii nanung'unikia kikosi. Week ijayo kama tukishinda nanung'unikia kocha.

Muda mwingine naona anaandika komedi natamani kumjibu ila napita kushoto mfano nimeona komenti yake akisema Arsenal haivutii tena big players lakini mimi kwavile angalau nafuatilia mpira nilitaka kumuuliza kama anajua united imekataliwa na wachezaji wangapi mpaka wakaamua kununua wale watoto wakina Pellistr? Thiago alikataa kwenda united, Reguillon alikataa, wawili wengine wamenitoka.

Msimu huo huo Dest akagoma kujiunga Bayern akaenda Barcelona. Bayern hapo imetoka kuchukua uefa na imeipiga 8 barca dest akaenda kule kulikopigwa 8. Wijnaldum akagoma kwenda barca akaja kwenye hiyo timu yako mpya psg.

Huyu Renato amekaa anasubiri ofa kutoka Arsenal. Mchezaji anayesubiri hata salamu kutoka Arsenal ni Zaha, Tammy alitaka kuja Arsenal pia.

Kwani liva wachezaji unaowaona leo imewatoa timu gani? Anza na front three yao Mane Southampton, Salah reject wa chelsea akachukuliwa kutokea Roma hakuna mchezaji ambaye alikua on fire alitakiwa na timu zingine halafu liva ikamfuata.

Zaidi ya misimu 6 au 7 Arsenal anamaliza juu ya liva, Arsenal amemiss kucheza michuano ya ulaya msimu huu lakini kwa liva ilikua kawaida. Klopp anaanza kuifundisha liva ilikua ni vipigo defense inacheza kama maguire forward ya sturridge haina kitu.

Sasa computerarsenal unatamani leo hii Arsenal labda iseme inamtaka Kimmich au Mbappe halafu wakubali kuja? Hiki ndiyo nimekisema unaandika mazingaombwe. Baada ya kujiestablish vizuri ndiyo Liva imeweza kumfuata mchezaji kama Thiago.

Mchezaji kama Dusan ni sahihi kwake kutamani kua sehemu ambayo itamfeed ego lakini Klopp alimuambia Coutinho "Baki Liva utakua supastaa ukienda Barca utakua ni mchezaji wa Barca" huu ushauri ilitakiwa aupate Jovic alipoamua kwenda Madrid n.k.

Umetoa hoja ya kwamba atafutwe kocha mzuri kumzidi Arteta. Taja majina. As in jamani Arteta ni kinabo achukuliwe fulani, ambacho haujui pia ni kwamba makocha wakubwa wanakuja na matakwa makubwa. Conte aliacha kazi Inter kwakua aliambiwa bajeti inakatwa na key players watauzwa.

Akaigomea kazi ya Spurs baada ya Levy kusema hana mpango wa kuinvest. Spurs ikamchukua Nuno, imempiga chini, imemrudia Conte. This means ama Levy yupo tayari kuongeza pesa au anataka kumtapeli Conte.

Hata Arsenal ikisema inamtaka kocha wa viwango unavyotaka wewe mahitaji yake yatamfanya asichukuliwe yaani Artet akiachwa kocha wa kuja pale aweza kua Rooney, Vieira hivi au kocha wa mid table kutoka ligi nyingine.

Unanung'unika sana huku haujui vitu vingi. Emotion ziko mbele mno. Nitaappreciate kama ukiamua kujibu useme kwamba 'Mkinionyesha kitu A, B, C kitawezekana vipi nitaacha hii tabia' siyo zile za 'Arsenal ana negative GD this is unbelieavable' huku unasahau kuangalia title contenders wawili spurs na united wana GD gani.

Man up grow a spine
 
Younger players fare well when matched with experinced players I think he should come in at second half when united wall is tired so his pace will give him advantage.
 
Gigi Becali, mmiliki wa klabu ya FCSB ya Romania, amefichua kwa vyombo vya habari kuwasili kwa ofa rasmi kutoka kwa Arsenal ya kumsajili kinda mwenye umri wa miaka 18, Ianis Stoica, anayeitwa Mbappe mpya.
"Kwa sasa tumepokea ofa ya euro milioni 7.5 kwa ajili ya Iannis Stoica. Nataka euro milioni 10 pamoja na 20% ya thamani ya mauzo ya baadaye"

 
Tuchel ndani ya miezi 11 kaifanya Chelsea itwae Ballon D'or ya club of the year,I repeat ndani ya eleven months
 
Kwanini PSG alishindwa kuifanya ichukue hiyo ballon d'or?
Kaichukulia Chelsea sasa today good coaches you will know them hata PSG angepewa muda angeifikisha mbali sana but you know big teams hazivumilii ujinga kama alivyolost final kwa bahati mbaya
 
Kaichukulia Chelsea sasa today good coaches you will know them hata PSG angepewa muda angeifikisha mbali sana but you know big teams hazivumilii ujinga kama alivyolost final kwa bahati mbaya
Unadhani angekaa PSG kwa muda gani angeipata hiyo ballon d'or? Amekaa 2018/ 19 na 2019/ 20 hapo akiwa ametokea Borussia. In theory Dotmund na PSG ni timu ambazo zinaweza ipata hiyo ballon d'or ila kote akafeli akatimuliwa.

Nipe sababu za kwanini kafanikiwa chelsea. Na siyo hizo timu mbili.
 
Kaichukulia Chelsea sasa today good coaches you will know them hata PSG angepewa muda angeifikisha mbali sana but you know big teams hazivumilii ujinga kama alivyolost final kwa bahati mbaya
Kama hauwezi kujibu niambie bro.
 
Bro tuna argue nini sasa wakati kaipa Chelsea Ballon D'or ?or you want me to talk about the past?seriously bro?we are talking about current issues bro
 
Bro tuna argue nini sasa wakati kaipa Chelsea Ballon D'or ?or you want me to talk about the past?seriously bro?we are talking about current issues bro
Hua unaifananisha Arsenal ya zamani iliyofuzu Europe comp kila msimu na hii ambayo haijafuzu. Ni kweli hautaki tuangalie past?

Hapa tusianze kuitana bro ili kuficha jinsi tulivyo miyeyusho na kuoneana huruma.

Tumekubaliana kuandika facts kwa kadri tunavyozijua. Nakukubalia chelsea imepata ballon d'or chini ya Tuchel.

Tuchel amekaa misimu miwili miwili Dortmund na PSG kwanini huko alishindwa? Jibu kwa facts.
 
Negotiation to bring back Arsene is underway, Arteta confirmed that recently in one of the interviews he had. BUT not one of the coaching staff.
 
XG reveals our form since xmass, some people say we aren't showing any improvement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…