computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Sasa umeandika nini unakimbia kimbia kama binti mimi nakuuliza maswali matatu pekee nijibuHuyu jamaa ana mambo makuu mawili au matatu yanayomsumbua.
1. Sio kwamba hataki kuchambua mpira km wengine wanavyojitahidi kufanya anataka na anatamani sana shida ni kwamba hajui aanzie wapi na aongee kitu gani(hajui) ndo maana leo atasema hili kesho atakuja na lile.
2. Yawezekana ni mtoto mdogo na hajawa na uwezo wa kujenga hoja kwenye mijadala hivyo anatumia jukwaa hili kukuza uwezo wake japokuwa anaweza kuwa anashindwa kugundua vitu vingine vinavyomuongezea uwezo wa kufikiri ili atengeneze hoja ya kueleweka
3. Yawezeka siyo shabiki wa arsenal na pia hajui mpira japo anaweza kuwa mpenzi wa mpira kwahiyo anachofanya ni kuiponda arsenal huku akijifanya shabiki bila kuwa na sababu za kimpira.
Nahitimisha kwa kusema kuwa huyu bwana nimekuwa nikifuatilia argument zake lkn hakuna cha maana alichowahi kuki-argue hivyo binafsi nikampuuza. Sasa hapa pia nashauri watu kumpuuza kwa kuwa huwa hana fact za kimpira zaidi ya kuwa na lugha za matusi au kejeli.
Mkuu unaupiga mwingi sana, mm ningelikuwa shabiki wa Arsenal ningelikuwa kama wewe. Hawa wajinga wasikuzingue.Sasa umeandika nini unakimbia kimbia kama binti mimi nakuuliza maswali matatu pekee nijibu
1- Since 1995 Arsenal haijawahi kukosa qualify for any European competition na Arteta ameikosesha Arsenal kushiriki European competition ni True or False?
2-For 2 seasons in a row Arteta kamaliza nafasi ya 8 is it True or False?
3-Arsenal haina any European competition this season ila amescore 0 goals na Conceded 11 goals against Chelsea Liverpool Manchester City is True or False?
Answer me then Arguments will continue don't run like a beautiful baby girl
Hizi ndio hoja za kuanza nazo kwanza in my opinionArteta is not a coach ambaye eti atabeba EPL au kuingia TOP 4 Never ever naapa
Unaambiwa toa technical reasons wewe unabwabwaja. Kwahiyo hizo kwako ndo technical reasons? Ebu nijibu kwa ufupi na kwa kueleweka kwamba kwanini usipuuzwe kwa kushindwa kutoa sababu za kiufundi za arteta ku-fail katika arsenal!?Sasa umeandika nini unakimbia kimbia kama binti mimi nakuuliza maswali matatu pekee nijibu
1- Since 1995 Arsenal haijawahi kukosa qualify for any European competition na Arteta ameikosesha Arsenal kushiriki European competition ni True or False?
2-For 2 seasons in a row Arteta kamaliza nafasi ya 8 is it True or False?
3-Arsenal haina any European competition this season ila amescore 0 goals na Conceded 11 goals against Chelsea Liverpool Manchester City is True or False?
Answer me then Arguments will continue don't run like a beautiful baby girl
Hizi ndio hoja za kuanza nazo kwanza in my opinionArteta is not a coach ambaye eti atabeba EPL au kuingia TOP 4 Never ever naapa
I am Arsenal fan licha kwa sasa ninaangalia football matches za PSG Chelsea waliona Lampard hataipa results team na akafukuzwa look today Chelsea na Arsenal ni two different teams yaani mbingu na Ardhi licha ya Kuwa December 2020 Mmoja alikuwa wa 9 na mwingine wa 10
Nachukia sana mijitu inayokuja na arguments kuwa Arteta ataifikisha Arsenal kwenye mafanikio wakati points zangu hapo juu zinaonyesha Arteta is doing nothing at all since he arrived
Hapa hakuna technical facts, unaongea sana bila kuweka sababu za kiufundi kwa nini unamchukia Arteta.Sasa umeandika nini unakimbia kimbia kama binti mimi nakuuliza maswali matatu pekee nijibu
1- Since 1995 Arsenal haijawahi kukosa qualify for any European competition na Arteta ameikosesha Arsenal kushiriki European competition ni True or False?
2-For 2 seasons in a row Arteta kamaliza nafasi ya 8 is it True or False?
3-Arsenal haina any European competition this season ila amescore 0 goals na Conceded 11 goals against Chelsea Liverpool Manchester City is True or False?
Answer me then Arguments will continue don't run like a beautiful baby girl
Hizi ndio hoja za kuanza nazo kwanza in my opinionArteta is not a coach ambaye eti atabeba EPL au kuingia TOP 4 Never ever naapa
I am Arsenal fan licha kwa sasa ninaangalia football matches za PSG Chelsea waliona Lampard hataipa results team na akafukuzwa look today Chelsea na Arsenal ni two different teams yaani mbingu na Ardhi licha ya Kuwa December 2020 Mmoja alikuwa wa 9 na mwingine wa 10
Nachukia sana mijitu inayokuja na arguments kuwa Arteta ataifikisha Arsenal kwenye mafanikio wakati points zangu hapo juu zinaonyesha Arteta is doing nothing at all since he arrived
Answer my questions plz if you don't basi sina haja ya kuargue is it True or False?Tanzania kuendelea itakuwa shida sana [emoji28]nimekuuliza True or False unakimbia kama kuku aliyekosa kamba mguun ukinijibu ntakuja kwenye technical issues first nijibuUnaambiwa toa technical reasons wewe unabwabwaja. Kwahiyo hizo kwako ndo technical reasons? Ebu nijibu kwa ufupi na kwa kueleweka kwamba kwanini usipuuzwe kwa kushindwa kutoa sababu za kiufundi za arteta ku-fail katika arsenal!?
Answer my questions first is it True or False?jibu then ntakuja kwenye technical reasons first nijibu ili na mimi nikujibuHapa hakuna technical facts, unaongea sana bila kuweka sababu za kiufundi kwa nini unamchukia Arteta.
Wewe mwenyewe hujiamini kama utapata points for those coming next games [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sababu ni kuwa coach kitechnically hasomekiTwo tricky away games against Man U and Everton zitafanya tujue wapi tulipo.
kwani unaumia?Wewe mwenyewe hujiamini kama utapata points for those coming next games [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sababu ni kuwa coach kitechnically hasomeki
Siumii ila truth hurts [emoji22]kwani unaumia?
Weww si ulihamia PSG ndugu.. Unajilazimisha sana na kujipendekeza huku Arsenal.. Yaani hueleweki unataka njni... Huna tofaut n'a mtu mwenye jinsia mbiliArsenal inahitaji coach mwenye CV ya kutosha na some big players watwae kombe la EPL otherwise hapo panapigwa Mark time mtaambiwa timu inajengwa upya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wote tunaipenda Arsenal yetu but for now on Arsenal inapiga Mark time tu
Arsenal ni my team ndio ila tukubaliane na fact kuwa Arsenal haina coach inapiga Mark time na next two games we will come here na kuona ukweli halisi let's wait and see those two coming games vs Manchester and Everton inauma Arsenal kuwa na goal difference negative 2 seriously?no wayWeww si ulihamia PSG ndugu.. Unajilazimisha sana na kujipendekeza huku Arsenal.. Yaani hueleweki unataka njni... Huna tofaut n'a mtu mwenye jinsia mbili
Look the difference between goals scored and conceded in those big teams and then linganisha na Arsenal that's ridiculous [emoji58]then unasema Arteta ameleta improvement kwenye team and hayupo kwenye any European clubs competition and waliopo ndio wana hyo difference what are fu***?
so far so good
meongea point kubwa sanaInasikitisha sana Arsenal haina mvuto tena kwa Big players kwa sasa kwa players they know their value hawawezi kuja kucheza chini ya Arteta otherwise Arsenal iingie champions league or EPL [emoji471]every day itakuwa ni tetesi kisha usajili unafungwa unabakia na majina yale yale unahisi mchezaji anayetaka makombe atakuja kuwa chini ya Arteta?this will never happen may be coach awe na jina kubwa na CV ya kutosheleza