Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
huyu jamaa tyr ameshasema yeye ni arsenal fan, na juz kiongoz wa juve baada mech na chelsea alibak london kujadili hilo dili, binafs simjui , ila arsenal tunahitaji sana viungo wa kati , wingers wakuchangia mabao, ni dhahiri pepe atauzwa soon...Arsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)
Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?
Huyu jamaa hadi nishamsahau..alituringia sana kipindo yupo motoFiorentina wameweka bei ya pauni milioni 55 ya kumnunua mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic kwa nia ya kusimamisha nia ya Manchester United - lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hatarajiwi kuhama mwezi Januari. (Mail)
Hawa Fiorentina washaanza kuwa na tamaa mwisho wa siku atakuwa kama Aour kwa Lyon walivyoweka tamaa mbele
wakala wake ameweka tamaa mbele anataka wavute muda aende free juve au aende kwa mkopo wa kununuliwa kama locatelli, juve wapo vibay kifedha, mchezaji amebakiza muda mchache kwenye mkataba wake, hivo watu wanafos january wambebe, totenham, arsenal, nyumbu , juve hana ubavu, na bei yake imeshuka sababu mkataba unaelekea mwisho, mwenye 40-55 january anambeba, shida wakala wake nasikia ameshikwa masikio na juve, simu za arsenal hapokeiFiorentina wameweka bei ya pauni milioni 55 ya kumnunua mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic kwa nia ya kusimamisha nia ya Manchester United - lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hatarajiwi kuhama mwezi Januari. (Mail)
Hawa Fiorentina washaanza kuwa na tamaa mwisho wa siku atakuwa kama Aour kwa Lyon walivyoweka tamaa mbele
Sasa hivi hata tetesi za timu yoyote kuhitaji yake hata hazipoHuyu jamaa hadi nishamsahau..alituringia sana kipindo yupo moto
Basi atakuwa hana akili huyo Wakala wake ila binafsi mimi huwa nawapenda sana wachezaji walio chini ya Mino Raiola, huyu wakala hana mambo ya ubabaishaji kabisawakala wake ameweka tamaa mbele anataka wavute muda aende free juve au aende kwa mkopo wa kununuliwa kama locatelli, juve wapo vibay kifedha, mchezaji amebakiza muda mchache kwenye mkataba wake, hivo watu wanafos january wambebe, totenham, arsenal, nyumbu , juve hana ubavu, na bei yake imeshuka sababu mkataba unaelekea mwisho, mwenye 40-55 january anambeba, shida wakala wake nasikia ameshikwa masikio na juve, simu za arsenal hapokei
Sa iv amna kazi hapoHuyu jamaa hadi nishamsahau..alituringia sana kipindo yupo moto
Wakala hana nguvu kwa mchezaji, ni wazi mchezaji anapenda Juventus kama Locatelli.Basi atakuwa hana akili huyo Wakala wake ila binafsi mimi huwa nawapenda sana wachezaji walio chini ya Mino Raiola, huyu wakala hana mambo ya ubabaishaji kabisa
Aouar bado mzuri, huyu agent alileta tamaa apige Pesa, ukiangalia case yake ni tofauti na Dusan & Locatelli.Sa iv amna kazi hapo
Ndiyo.Arsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)
Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?
Inasikitisha sana Arsenal haina mvuto tena kwa Big players kwa sasa kwa players they know their value hawawezi kuja kucheza chini ya Arteta otherwise Arsenal iingie champions league or EPLWakala hana nguvu kwa mchezaji, ni wazi mchezaji anapenda Juventus kama Locatelli.
ArsenalNeymar, Mbappe na Messi confidence wanaipata wakicheza na nani?
Daaah mkuu, Sambi at his young age na katoka timu na league ambayo ni ya kawaida sana and then BAM! anatua Uingereza na mechi against city or Liverpool kucheza dhidi ya viungo ambao wamezidi kila kitu yaani umri, uwezo na experience
City
Rodri
De bruyne
Fernandinho
Gundogan
Liverpool
Henderson
Thiago
Fabinho
Chamberlain
Unategemea hapo katikati huyo SAMBI atafanya nn zaidi ya flop, zaidi ya hapo dg anahitaji kukua na kuendelea kugain experience zaidi ya premier league
Thierry Henry alisema 'PSG ina madhaifu mengi ila hayawezi kuonekana ikicheza na timu za League One. City inaweza kuyaonyesha hayo madhaifu'Arsenal
Navuta kamba tu, hayo ya mimoshi sijui tumuulize Orachuga.Chochote unachovuta hakikisha moshi hauwafikii wanao
Umeongea kama sheykh Yahya Hussein.Its true timu ina quality lakini wanaanza kukutana na big six kipindi hichi na hawana squad depth ya kucover kila nafasi so hiyo race haiwezi kua won within the next few weeks.
This is a team that self proclaimed themselves as title contender but today we discuss their possibility in chasing top four.
Unaamini quality yao itasaidia soon?
Hii comment naitunza mpaka mwisho wa msimu wa ligi.Duh! Lakini mkuu Sisi tunajikuta wajuaji sana. Yaani automatically tu inakuwa hivyo sijui imekaaje.
Huyu Rangnick just one week ago hakuwa kabisa katika hiyo mipango ya kuongeza "aggression within blocks"
Hebu tutulieni na kudeal tunachokiona kwa sasa. Na tunachokiona kwa sasa ni kwamba United hawawezi maliza ndani ya top four.
After 6 games from today yaani after game number 19 nadhani wapenda mpira worldwide watakubali kwamba arsenal ni serious top 4 contenders wa EPL 2021/2022.
Sasa unamlilia nani, nenda wewe kawe kocha wachezaji wenye majina watakuja.Inasikitisha sana Arsenal haina mvuto tena kwa Big players kwa sasa kwa players they know their value hawawezi kuja kucheza chini ya Arteta otherwise Arsenal iingie champions league or EPLevery day itakuwa ni tetesi kisha usajili unafungwa unabakia na majina yale yale unahisi mchezaji anayetaka makombe atakuja kuwa chini ya Arteta?this will never happen may be coach awe na jina kubwa na CV ya kutosheleza
Tukutane baada ya game number 19Hii comment naitunza mpaka mwisho wa msimu wa ligi.