Unajua moto unaofuata baada ya hapa? Man Utd
Wacha1,Mbu,Arsene Wenger et al
Naona mnapokea furaha sawa na matatizo......
Hongereni sana
Game Over,....
Next, Man United.
Together we stand!
Lorient wamewaletea matatatizo makubwa sanaaaa! Mtajuuuta kuwakosesha tripu ya Las Vegas.
Shida hii timu yetu huwa haifanyi mambo ambapo ni lazima, kama game ya Sunderland jmosi itakuwa mgumu sana japo wenger anasema machungu kwisha.
In your dreams!!!..Big up kwa jana The Gunners,mmnewaonea sana!!
Shida kubwa wakuu ya hii timu yetu huwezi ukailia yamini, tunafanyaga vimakosa vya hovyo mahali ambapo hata hapastahili!
Naamini Steve Bruce atafanya mambo ukichukulia mtakuwa uwanja wa ugenini
Lorient wamewaletea matatatizo makubwa sanaaaa! Mtajuuuta kuwakosesha tripu ya Las Vegas.