Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
kama ni kweli anahitaji fullback mwingine basi sawa, japo kwasasa walisema wanafocus kwenye midfilders na forwadMkuu nakuelewa unachokisema ni kwenye 4231 ambayo buildup shape inakuwa 3-2-5 ila kwa 433 unahitaji kuwa na full backs wanaoenda High kukupa Width pande zote kama Liverpool. Arteta anasema ni muumini wa 433 ndio maana naona kuna tetesi za ujio wa right back kama Max Aarons.
Unaandika nini sasa hapa?wewe mm nakushauri kubali kulamba matapishi yako kama uliponda huo usajiri ukitaka hao kina onana ,
rams na huo mfano wa kina kepa ni maji na mafuta
unamzungumzia kipa aliyeshuka daraja mara mbili, halafu arteta anampambania , akiwa anauzwa paun million 40, hivi unadhan wachezaji wanaoshuka daraja wanauzwa bei kubwa? ni lazima awe na kitu cha ziada
kumbuka hapo kuna makipa wengine wa bei rahisi... why klabu itoe mill 30 ? usawa huu..lazima ukubali kuheshimu kazi za watu
mbona wengi tu wametubu na amekuwa kipenz cha mashabiki wakati anatambulishwa zilikuwa kejeri tu
Am pretty sure haujaaddress nilichoandika.Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5
na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu
hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli
HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,
hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi
hoja haikuwa overpriced, uache kudanganyaUnaandika nini sasa hapa?
Mimi naongelea yeye kua overpriced wewe unaniletea stori za matapishi
nilitaka kukuonesha uongo wako , et mari na holding walikupa mataji mawiliAm pretty sure haujaaddress nilichoandika.
najua umejificha kwenye hiko kichaka cha overprice, lkn nitakuibua tu, hadi ulambe matapishi yakoUnaandika nini sasa hapa?
Mimi naongelea yeye kua overpriced wewe unaniletea stori za matapishi
Hahaha dah nimekubali spirit yako. Ukikuta popote nimeandika kwamba Ramsdale hafai kwakua ni kinabo sitarudi huu uzi tena.najua umejificha kwenye hiko kichaka cha overprice, lkn nitakuibua tu, hadi ulambe matapishi yako
ifike mahala muheshimu kazi na taaluma za watu
Hoja ilikua nini?hoja haikuwa overpriced, uache kudanganya
Haujaaddress nilichoandika.nilitaka kukuonesha uongo wako , et mari na holding walikupa mataji mawili
nimekuwekea vikos vilivyotupa hayo mataji tena tukitumia back 5
usidanganye watu tena
Ila mkuu tukubaliane tu kwamba wewe huwakubali Mari na Holding ila sio average player lkn pia issue ya Aaron Ramsdale kaonyeaha kiwango kikubwa sana mpaka hela aliyonunuliwa tunaona ni sahihi kabisaHuwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5
na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu
hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli
HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,
hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi
Mkuu hivi vikosi umechanganya kwenye vikosi vya fainal zote mbili hakuna gem mustafi alicheza na pia ceballose na Lacazette walicheza fainali moja yaan FA lkn ngao ya jamii wote hawakuwepo.Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5
na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu
hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli
HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,
hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi
mm nakubaliana na jamaa hao holding na mari ni average ndio maana wamekuwa dropped, benchi la ufundi sio vichaa wawaache mabeki bora wacheze carabao na faIla mkuu tukubaliane tu kwamba wewe huwakubali Mari na Holding ila sio average player lkn pia issue ya Aaron Ramsdale kao fnyeaha kiwango kikubwa sana mpaka hela aliyonunuliwa tunaona ni sahihi kabisa
Mkuu huyo average player ndo alicheza fainali zote mbili km CB na timu ikashinda. FA Holding na Luiz na Community shield Holding na Luiz. Sasa je amekuwa hivi karibuni baada ya Luiz kuondoka?? Na km ni hivyo basi hilo bench la ufundi pia bovu kuondoa world classic defender David Luiz na kuacha Average player Holding. Ila nadhani umesahau kuwa Holding ameanza kuwa bench baada ya kupata majerahamm nakubaliana na jamaa hao holding na mari ni average ndio maana wamekuwa dropped, benchi la ufundi sio vichaa wawaache mabeki bora wacheze carabao na fa
tunazungumzia mari na holding , luiz aliondoka majeruhi mengi , na umri , arsenal ya sasa ni vijana tuMkuu huyo average player ndo alicheza fainali zote mbili km CB na timu ikashinda. FA Holding na Luiz na Community shield Holding na Luiz. Sasa je amekuwa hivi karibuni baada ya Luiz kuondoka?? Na km ni hivyo basi hilo bench la ufundi pia bovu kuondoa world classic defender David Luiz na kuacha Average player Holding. Ila nadhani umesahau kuwa Holding ameanza kuwa bench baada ya kupata majeraha
Wewe jamaa unashindwa kutetea hoja yako. Kwahiyo Holding anakuwa average pale anapopangwa na pablo mari pekee? Mkuu kwenye mpira kuna partner huwa zinakubali na kuna partner huwa zinakataa kumatch hii ni kulingana na aina ya wachezaji na uchezaji wao kulingana na mahitaji ya mwl.kwenye mechi husika.tunazungumzia mari na holding , luiz aliondoka majeruhi mengi , na umri , arsenal ya sasa ni vijana tu
holding alishacheza hata fainal na per , ila holding hana consinstency ,ndio maana haaminiki ,ni average
Mzee wangu Castr data zinakuumbua huku, dogo anaongoza yupo on top.
xG on target not incl. shots blocked / off target. He prevents 0.31 goals per game.View attachment 1994001
Ananiumbua na nini?Mzee wangu Castr data zinakuumbua huku, dogo anaongoza yupo on top.
xG on target not incl. shots blocked / off target. He prevents 0.31 goals per game.View attachment 1994001