Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emile na Odegaard ni wazuri kusprint na kwenda mbele, kutafuta nafasi na kuassisst.

Saka anaporwa sana mipira anakimbilia kwenye wing ambapo hua inakua ngumu kutoboa, kingine ni siyo mzuri kutafuta nafasi akitoa pasi badala yake hua anaganda hapo hapo, na ana pasi chache za kwenda mbele nyingi anawarudishia mabeki.
 
Hofu yangu kwa odegaard gem inapokuwa ngum tukahitajika kurudi nyuma kukaba kisha kukimbia na mpira kwenda mbele sio mzuri hivyo utaona kwenye gem za namna hiyo acheze Saka,Rowe, Laca kwa kuwa wote wanauwezo wa kuchukua mpira tokea nyuma wakakimbia kwenda mbele muda huo Auba anakuwa anasubili mbele kwamba wakianza kumove na yeye anamove kutafuta nafasi ya kupasiwa. Lkn ngoja tuone leo arteta atakuja vp ila mimi nitafurahi akija na aarone, Tomiyasu, Tavares/Tierney, White, Gabrie, partey, Lokonga,Rowe, Saka, Laca na Auba.
 
Arteta kaja km nilivyokuwa nawaza sasa ngoja tusubili kujituma kwa wachezaji ndani ya uwanja kama watajituma basi ushindi upo tena wa goli mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…