Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...duuuuhhh, kuna nini hapa...Wacha1 mbona jamaa wamekuzingira hawa?

Wewe no coward hata picha ambazo zipo kwenye magazeti unaogopa kusema ni wewe uliyeweka ni AIBU uombe msamaha tu kwa wana jamvi maana hii ni tabia yako kupindisha hoja za members hapa. Phew! What a loser its just a Game. I hope you will apologize.

Una hasira sana na Martins OBA!
 
...tokea lini Man U na Chelsea wakawa wamoja bana, wasiikusumue hao!

...these two "thugs" do not deserve to be in the pitch tomorrow,
anyway, 24 hours kuanzia sasa kilio kitahamia mtaa mmoja wapo!
 
♫ ♫ ...Ewe Bundi, ewe Bundi Peleka salamu! ♫ ♫

...tokea lini Man U na Chelsea wakawa wamoja bana, wasiikusumue hao!

...these two "thugs" do not deserve to be in the pitch tomorrow,
anyway, 24 hours kuanzia sasa kilio kitahamia mtaa mmoja wapo!

Mkuu wameniondolea kidude cha Thanks hawa jamaa wana visa sana na kesho wakinywa maji naona watafunga hii forum maana itakuwa kiama khe khe hekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ile return leg ndio ilikuwa leo bado nawatafuta Chelsick baada ya

Daraja kuvunjwa ....... nasikia wamekimbilia kwenye mtaro lazima tuwafukue .....

RIP Chelsick .... ..... .....
 
Mkuu wameniondolea kidude cha Thanks hawa jamaa wana visa sana na kesho wakinywa maji naona watafunga hii forum maana itakuwa kiama khe khe hekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

...Pole sana Mkuu!....Bundi pia ameonekana mitaa ya "Old Trash Fort" bana...sasa sijui itakuwaje...

Anyway msiba kokote, kwetu ni ulaji tu!
 
Nicca please... why would I be heartbroken..?
Acha kujidai akijauma...kubali mmefungwa and it hurts hizi yengele nyingine ni mazungumzo baada ya habari.

Mkuu lugha ina wenyewe. Go back and read what was written.
 
...Pole sana Mkuu!....Bundi pia ameonekana mitaa ya "Old Trash Fort" bana...sasa sijui itakuwaje...

Anyway msiba kokote, kwetu ni ulaji tu!

Nakwambia kesho ipo kazi sasa sijui wamempa urefa nani? Maana wote ni wahongaji wakubwa na kama unavyofahamu ukitaka uchukue EPL lazima kwanza uwafunge hawa wanoko wawili halafu uwafunge Sky sports na media nzima then refa pamoja na FA chacha kuna watu wanafikiri mpira unapochezwa pale uwanjani ni lelemama, lakini mwaka huu tumewashika vibaya kitaeleweka tu. Matokeo ya kesho kwetu ni mazuri tu whichever way.

BTW Kudos Thanks button back.
 
-"The mistake was that the gun was here in Cobham. We didn't know the gun was here."-
-ACHENI LOTE.
 
...Nice One!
 
Wewe ni coward hata picha ambazo zipo kwenye magazeti unaogopa kusema ni wewe uliyeweka ni AIBU uombe msamaha tu kwa wana jamvi maana hii ni tabia yako kupindisha hoja za members hapa. Phew! What a loser its just a Game. I hope you will apologize.

I hit a nerve! Coward ni wewe unayekimbia kila Arsenal ikicheza na kurudi usiku ku-paste picha wakati watu hawapo, sore loser!
 
...tokea lini Man U na Chelsea wakawa wamoja bana, wasiikusumue hao!

...these two "thugs" do not deserve to be in the pitch tomorrow,
anyway, 24 hours kuanzia sasa kilio kitahamia mtaa mmoja wapo!

Kuna thug mwingine, Jack Wilshire jana kafungwa leo analialia kwenye twitter, yeye ni bingwa kwa kupigana kwenye night clubs.
 
...Nice One!

Sizitaki mbichi hizi, huyo mkenya hajui kwamba ndugu yake Omondi aliondoa uhai kwa kufungwa?! Vikombe ni big deal kwa die hard fans, ndio maana wengi walilia sana pale Wembley jana....jaribu kuwaambia hiyo sentensi uone.
 
Haya vijana wa darajani kesho tunakuja kuwashika,si mnajua MAN UTD ni glory kwa kwenda mbele.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…