Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu huu tunataka Top 4 tu na sio ubingwa
Sasa ndg zangu top 4 arsenal atamtoa nani hapo ,sahauni top four lengo la arsenal ni top 6 ,arsenal bila hata ya kupepesa macho kumaliza juu ya leiceister ,westham na villa ni kubeba gunia la mavi ,msema kweli mpz wa Mungu
 
Sawa sheikh Yahya majini kwa huo utabiri wako ila hapa malengo ya timu msimu huu ni kurudi Katika Champions league na haijalishi kama malengo hayo yatatimia au laah
 
Sky sport wanareport habari ya CF Calvert Lewin, Top striker top baller.
 
Unauhakika umemjibu swali lake mdau!?
 
Kabla ya arteta epl mlichukua lini!? Au unajitoa ufahamu!?
Makolo mpo wengi kumbe, sasa unaongelea Epl tulichukua mwaka gani Arteta amekuwa kocha kipindi gani? Watu tunaongelea Squad rebuilding unaleta mautopolo sijui there's time limit, nakuuliza kocha ana muda gani paka useme there's time limit?
 
Kitu gani kimekufanya umuite Prof.???? Miaka 21 hapo amekupa nini cha maana...MIAKA 21!!!!!!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani dingi yako kakupa kipi cha maana , at least wenger Technical director wa Fifa, nafasi ambayo dingi yako hajui ht inahusiana na nini,
Kwani dingi yako na Prof Wenger tofauti yao ni nini?
 
Wanangu arse8 mpoo😀😀😀..!!? Unajua siku hizi ninyi ni Bolton tu ndio maana sijui hata mnacheza lini..Hivi bado mupo kwenye ligi Kwanza? Isije ikawa mumeshapigwa kibuti na EPL maana ninyi ni timu isiyojua Nini inataka🤣🤣
 
Ongezea UEFA champions league 1979-80.
 
Mkuu una elewa maana ya malengo ya kurudi kwenye mashindano ya Ulaya

Malengo sio sheria lazima yatimizwe, kila timu inapocheza kwenye inakuwa na Maximum Target zake

Kwenye hizo timu ulizotaja hapo juu hujui kama majeruhi kwenye timu, na performance kushuka, kwahyo lolote kwenye msimamo linawezekana
 
Makolo mpo wengi kumbe, sasa unaongelea Epl tulichukua mwaka gani Arteta amekuwa kocha kipindi gani? Watu tunaongelea Squad rebuilding unaleta mautopolo sijui there's time limit, nakuuliza kocha ana muda gani paka useme there's time limit?
Duh, timu ishakufanya uehuke. Sasa povu lote hilo la nn. Swali ni, mna muda gani mmechukua epl!?
 
Jamie Carragher on Arsenal:

"I think it is too soon for them to qualify for the Champions League, but of the chasing pack they may prove themselves best equipped to challenge."

Jamie carragher from its just arsenal to now " one to watch"
 
Daah hawa jamaa.......

Top 4 inazidi kuwa ngumu, manake waarabu wanajua kumwaga hela.
 
Arsenal kwenye high pressing bado sana, Auba pekee kwenye list

Vijana ESR,Saka,odegaard hawapo, we have a long way to go..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…