OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Duh, kila mwaka ni next season , poleni sanaMdogo mdogo tunarebuild, next season tutakuwa na new forward line sio hii ya Nicolas Pepe na lacca.
I hope tutapata new CF, LW,CM.
No shortcuts to success, it takes time and persistence.Duh, kila mwaka ni next season , poleni sana
Mkuu unafurahia sana ushoga nini maana watu walishaachana na hizo stori wewe bado unazo tu au hujui kuwa kurudiarudia kitu kibaya ni kukitangaza ili watu wakijue??. Bahati mbaya sana kwa watanzania ukisikia mtu anakisema sana kitu ujue ni mshirika mzuri kwahiyo anajificha kwa kuponda au kusifia. Tafadhali sana mkuu tusiende huko sisi tuendelee na ushabiki wa soka tuArse8 Ina roho ya ushoga ndani yao ..wachezaji wamelegea Sana ..lacazzete ni agent wa kuzimu anaharibu kisaikolojia wachezaji wenzie kwa kuwapakua visamvu. Michezaji ikiingia ground imechokaaaa..
Mkuu hili ni Jukwaa la Arsenal fans, ninyi pia mmeingia kama Watani kuja kutupa changamoto lakini Lugha unazotumia sio rafiki Mkuu.Arse8 Ina roho ya ushoga ndani yao ..wachezaji wamelegea Sana ..lacazzete ni agent wa kuzimu anaharibu kisaikolojia wachezaji wenzie kwa kuwapakua visamvu. Michezaji ikiingia ground imechokaaaa..
Wakulaumiwa ni wazazi, sio yeye!Mkuu hili ni Jukwaa la Arsenal fans, ninyi pia mmeingia kama Watani kuja kutupa changamoto lakini Lugha unazotumia sio rafiki Mkuu.
Kwani huwezi kutumia Lugha za kistaarabu na tukaelewana? Punguza utoto boss naona hayo mambo umeyavalia njuga
Yaani hana ustaarabu kabisa, hata kama ni utani. Huu wake umevuka kiwango cha uvumilivuWakulaumiwa ni wazazi, sio yeye!
But there must be a time limit my friend, right!?No shortcuts to success, it takes time and persistence.
unaumwaMembers of this group are not happy at all,I don't know why?
unaumwa
Awaited more than enough ?But there must be a time limit my friend, right!?
Let us be sincerer here, you have awaited more than enough. Let the truth be spoken.
Anyways, someone will come and spell, "it's none of my business"
Komaeni msimu huu lazima mubebe ndoo ya epl.Tunaenda mapumziko ya Kimataifa kwa wiki 2, Na alama 10 kati ya 12.
Performance ya game dhidi ya Brighton ilikuwa mbaya, Baada ya Mechi nzuri dhidi ya Spurs.
Tofauti ya point 4 kuingia Big 4 na Point 6 kuwa Vinara wa League.
Ratiba 4 zifuatazo ni ngumu na Crystal palace imeanza kuonesha Ubora wake Aston villa ni wazuri pia , Leicester na Watfod sio wakuwabeza Pia.
Faida ni kuwa tunacheza game 3 nyumbani na moja Ugenini.
Team ina majeruhi mmoja tu, Muhimu ni Wachezaji wengine waludi wazima
Msimu huu tunataka Top 4 tu na sio ubingwaKomaeni msimu huu lazima mubebe ndoo ya epl.
Mkuu are you serious?Kitu gani kimekufanya umuite Prof.???? Miaka 21 hapo amekupa nini cha maana...MIAKA 21!!!!!!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
The nickname "Le Professeur" is used by fans and the English press to reflect Wenger's studious demeanour. He is one of the most celebrated managers of his generation, having changed perceptions of the sport and profession in England and abroad. His approach to the game emphasises an attacking mentality, with the aim that football ought to be entertaining on the pitch.Kitu gani kimekufanya umuite Prof.???? Miaka 21 hapo amekupa nini cha maana...MIAKA 21!!!!!!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Look at the trophies at his carrier in Arsenal as a ManagerKitu gani kimekufanya umuite Prof.???? Miaka 21 hapo amekupa nini cha maana...MIAKA 21!!!!!!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app