Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona unaumizwa mkuu, Uhalisia gani wakati timu imeshinda four games in a row?
 
Wanawake wa Arsenal muda huu wamewakalia wenzao wa man city hadi sasa wapo 4 bila.
Man u madume wala kichapo na wa kike nao wameliwa 6 kweli leo ugumu ugumu tu.
Wanawake wa Arsenal ni wakali sana England. Hadi naangalia highlights zao . Wanaupiga mwingi si mchezo. Na ndio mabingwa wa historia wa ligi ya wanawake kwa sasa. Kuna striker anaitwa Miedema ni moto wa kuotea mbali. Auba akistaafu tumuombee kibali huyu aje achezee timu ya wanaume 😀
 
Tunamnyoosha Manchester City huko
raha hii unaipata ukicheza Champions
league
yaani rahaaa mnakutana wanaume kwa wanaume mnakipiga uwanjani
 
Yule pundit bingwa wa kuiponda Arsenal Paul Merson hatimaye anasema ''Arsenal can challenge for top four'' Snakes wameanza kukubali sasa
 
Yule pundit bingwa wa kuiponda Arsenal Paul Merson hatimaye anasema ''Arsenal can challenge for top four'' Snakes wameanza kukubali sasa
Kwa kauli hii hata humu ndani ukiongea mbele za watu watakuona ahuani mechi 6 za Arsenal tena kashinda 3 tena kafunga goli 5 kafungwa 10 unasema anagombania TOP 4?Arsenal tunajua ni timu yetu plus timu yangu PSG ya wanaume but acha msimu uendelee tuache mdomo mdomo timu ya Arsenal inajulikana may be Sir GOD afanye maajabu may be may be inawezekana sababu CHELSEA MANCHESTER CITY LIVERPOOL hawa guarantee ni TOP 4 na hakuna wa kuwatoa that's the fuckin truth
 
Habari mbaya Xhaka is out for 6-8 weeks, Arteta aende na Martinelli Left Winger, ESR anarudi na Partey kwenye mid,
sometime unaenda na ESR LW, lokonga X Partey kwenye Mid ila sio Pepe huyu ni wa benchi tu, Pepe ajifunze kwa Saka namna ya kucheza RW, game na Spurs Pepe angeanza RW ingeisha Arsenal 1-2 Spurs.
 
Defend your ego bro, time will expose you.
 
Hizo mechi tatu tunapoteza hatukuwa na Ramsdale, Tomiyasu, Gabriel,partey, white na Odegaard pia hawakucheza Mechi mbili kati ya hizo.

Wewe jamaa akili zako huwa unazijua mwenyewe.
 
Hizo mechi tatu tunapoteza hatukuwa na Ramsdale, Tomiyasu, Gabriel,partey, white na Odegaard pia hawakucheza Mechi mbili kati ya hizo.

Wewe jamaa akili zako huwa unazijua mwenyewe.
Kikosi chetu bado kuwashinda CHELSEA MANCHESTER CITY NA LIVERPOOL, I repeat bado na TOP 3 hao hawatatoka hapo na ARSENAL hawezi kushindana na hao watu 3

Then kuna MANCHESTER UNITED may be may be huyu inawezekana tukashindana nae ila ni misimu mingapi sasa hii timu tumemaliza juu yake?
sio kuwa akili yangu naijua mwenyewe no,I give you the Naked fuckin truth TOP 4 sio kama unaenda kukojoa mkojo wa asubuhi kirahisi rahisi may be ungesema TOP 6 ningeweza kukubaliana na wewe

Ok fine if you are talking serious unahisi katika hao nliowataja Arsenal anaweza akamaliza juu ya nani then tuone statement yako?
 
Sasa wewe ni kwamba huoni kama nimereport kilichozungumzwa na Paul Merson Sky sports, usinilishe maneno we ndugu.
 
umerudi arsenal??
 
Daah. Xhaka saa zingine simkubali ila sipendi wachezaji wakiumia aisee (hata wachezaji wa rivals sipendi waumie na kushindwa kucheza mpira, nawaombea viwango vyao viwe vibovu tu).
 
Daah. Xhaka saa zingine simkubali ila sipendi wachezaji wakiumia aisee (hata wachezaji wa rivals sipendi waumie na kushindwa kucheza mpira, nawaombea viwango vyao viwe vibovu tu).
For sure Xhaka na Partey ndio midfield inayoweza kucompete na Rivals, hii ni break down kubwa kwa Arteta. 6-8 weeks duh!
 
Marinelli and Pepe wataendelea kusubiri pale kwenye benchi la heshima hasa ESR na Star boy Saka wakiwa full fit.

Now arsenal pale kati siku hizi tunacheza na double pivot na central attacking mildified Yaani Partey na Xhaka boom ktk holding role na mbele yao ni Martin Odegaard as number 8 attacking mildified na hawa hasa wakiwa full fit.

Xhaka out of pitch for three month, anainuka bwana mdogo katika benchi LOKONGA anaenda kukaa na Parte after Parte katika ile double pivot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…