1st goal. Smith roweView attachment 1953917
2nd goal. AubaView attachment 1953921
3rd goal. SakaView attachment 1953923
The team have played well today and seems the morale is up.
We have seen ups and down of this team for the moment. But with this way of playing if continues, then the future is so bright.
Wapi Numbisa na short videos zako za magoli? 🤗
We are gunners forever 👏👏💪💪💪
Kafie mbali kenge wewe umekufa wewe.Maiti imepiga chafya
Duh pole sana ndugu yangu.hata sioni game bro. sijapata stream, naangalia tu highlights za arsenalist.com
Yupo na legendary Thierry HenryNamuona tajiri wa sportify uwanjani
Atakuja tu mkuuSijamuona ndg yetu castr humu au leo hajacheki gemu nini
Hahaaaa, Ila utani wa mpira jamani, mtu mgeni wa mpira akija humu akaona atazani kweli tunatusiana!Kafie mbali kenge wewe umekufa wewe.
Shiiii, aliyelala usimwamsheJana Jiran Brentford kanifurahisha kumpunguza speed livapunga na leo majiran zangu Arsenane naona Arteta kaanza kuwaongopea kwa kushinda msahau wimbo wa Arteta out so sad for you maana kwa uongo wa leo mtaendelea kumuamin mpaka mwisho wa msimu kama kawaida nafas ya 9 au ya 8 I feel bad for you sijui mtaamka lini kwenye huu utapeli wa Arteta
don't forget that London is Blue
Unaota au umeamka.Maisha hubadilika kivyovyote usikariri kwa kikosi hicho hicho arsenal yaweza kufika mbali mkashangaa na dharau zenu mbona nyie mmepigwa tena nyumbani.Jana Jiran Brentford kanifurahisha kumpunguza speed livapunga na leo majiran zangu Arsenane naona Arteta kaanza kuwaongopea kwa kushinda msahau wimbo wa Arteta out so sad for you maana kwa uongo wa leo mtaendelea kumuamin mpaka mwisho wa msimu kama kawaida nafas ya 9 au ya 8 I feel bad for you sijui mtaamka lini kwenye huu utapeli wa Arteta
don't forget that London is Blue
Hujui unachokisema, kocha anahitaji wachezaji wazuri ili Arsenal tuenjoy soka, kwa uwepo wa Cedric/Bellerin na Leno golini usingeona such kind of football, kwenye football mchezaji mmoja anaua system nzima ya timu.Jana Jiran Brentford kanifurahisha kumpunguza speed livapunga na leo majiran zangu Arsenane naona Arteta kaanza kuwaongopea kwa kushinda msahau wimbo wa Arteta out so sad for you maana kwa uongo wa leo mtaendelea kumuamin mpaka mwisho wa msimu kama kawaida nafas ya 9 au ya 8 I feel bad for you sijui mtaamka lini kwenye huu utapeli wa Arteta
don't forget that London is Blue
Kanzu mpya sheikh wa zamanUnaota au umeamka.Maisha hubadilika kivyovyote usikariri kwa kikosi hicho hicho arsenal yaweza kufika mbali mkashangaa na dharau zenu mbona nyie mmepigwa tena nyumbani.