Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu kiaje?

Naona Arteta anakaribia kuwa na kikosi kamili nilichokitabiri hapa cha first XI.

Ila Thomas Partey anaanzia bench.

Team news Arsenal dhidi ya Norwich

Arsenal XI: Kipa Ramsdale, beki wa kulia ni Tomiyasu, kushoto ni Tierney, beki namba nne White na mkoba ni Gabriel, Wachezaji wapembeni ni kushoto Saka na kulia Nicolas pepe.

Wachezaji wa kiungo n Maitland-Niles kiungo mkabaji, kiungo wa kati Sambi Lokonga na kiungo mshambuliaji Martin Odegaard na mshambuliaji wa kati ni Aubameyang.

Arsenal first XI

Arsenal XI: Ramsdale, Tierney, White, Gabriel, Saka, Odegaard, Aubameyang1, Maitland-Niles, Tomiyasu, Pepe, Lokonga
 
Tunatamba sana ila sioni mwanga mwema mbeleni, yani full kiza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…