Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtoa comment anasema Mou alifanikiwa United, sawa sijakataa, ila swali
je walimuonea kumfukuza?
Nafikiri Mou alikua na decent run pale united. Kama wangempa wachezaji aliowataka nafikiri wangepata zaidi.
 
Nafikiri Mou alikua na decent run pale united. Kama wangempa wachezaji aliowataka nafikiri wangepata zaidi.
..better tujadili tu kuhusu timu yetu..mengine hayana msingi bro kwenye huu uzi wetu.
 
At times hua inatokea timu mbili zinapokutana watu mnaamini uwezo wa kocha utatatua tatizo ila Spurs na City zikikutana hakuna namna utaiamini Spurs.

Considering rekodi yao ya trophy ndiyo unazidi kukosa amani.
 
..better tujadili tu kuhusu timu yetu..mengine hayana msingi bro kwenye huu uzi wetu.
Sasa kama watu wakiandika vitu hamchangii ndiyo inabidi tujadili hata ishu zingine.

Huyu Tomiyasu ni CB Arteta amepush jamaa anunuliwe ili awe kama RB. Kuna wenzetu humu wamesema jamaa hua anacheza kama RB mimi binafsi sijawahi kumuangalia.

Kwahiyo nasema tu kwamba huyo ni Chambers mwingine. Timu ina maCB kibao wengine hadi wapo kwa mkopo timu zingine lakini jamaa kaleta tena CB.

Na wachezaji 6 waliosajiliwa Arsenal world class ni Odegaard wengine wote Edu kasema wamefocus kwenye future.

Sawa mfano tunakubali kafocus na future. Vipi kuhusu sasa? Kuna nani na nani wa kucover hizo nafasi?

Liva ilistruggle kwa miaka zaidi ya 5 usione wanaongea kwa heshima wanakumbuka kilichowakumba. Yaani kwa maneno ya Arteta na Edu wanachomaanisha ni tunahitaji misimu mitatu mingine ya kuishi kijinga.
 
 
Nafikiri Mou alikua na decent run pale united. Kama wangempa wachezaji aliowataka nafikiri wangepata zaidi.

Matusi haya Mzee castr

Sanchez katoka Arsenal wa moto
Lukaku katoka Everton wa moto
pogba,Fred,zlatan, Mikhi,
more than £370m spent by Mou at united
 
#Zlatan: "In 2010, I scored 2 goals against Arsenal in the 1st leg, for the return leg I was injured so I said to #Messi: 'Listen little one, it's your turn to carry the team on your shoulder'. He made 4. I said congratulations today you were better than Zlatan" 🤣🤣🤣
 
Matusi haya Mzee castr

Sanchez katoka Arsenal wa moto
Lukaku katoka Everton wa moto
pogba,Fred,zlatan, Mikhi,
more than £370m spent by Mou at united
Lakini kuna wachezaji hawakuletwa pale na wengine yeye mwenyewe alisema ni wa kawaida na wengine wana utoto.

Rashford, Martial, Pogba akawataja ni vinabo.
 
Lakini kuna wachezaji hawakuletwa pale na wengine yeye mwenyewe alisema ni wa kawaida na wengine wana utoto.

Rashford, Martial, Pogba akawataja ni vinabo.

Mou hujiona kwenye Victim side always, alisajili wachezaji 11 united
 
Hamna hela ya kumlipa Conte
 
Fabrizio Romano anaripoti kwamba hakuna makubaliano yoyote kati ya Arsenal na Conte hivyo Arteta bado yupo sana.
 
Arsenal

now.arsenal
@now_arsenal

The Arsenal legends & their



12:40 PM · Sep 7, 2021·Twitter for iPhone

119
Retweets
61
Quote Tweets
1,205
Likes



















Reply






P™
@SemperFiArsenal
·
6h

Replying to
@now_arsenaI
Wenger ofcourse


4

3

222




Daniel Oates (Pixel Coffee House)
·
5h

Gotta be this right?



GIF




1

46




Bruce
@MiNiMe_1991
·
4h

Replying to
@now_arsenaI
Easily Wenger, one of
@Arsenal
Guardian angels






15




Paul Bates
@paulgbates
·
2h

Replying to
@now_arsenaI
You forgot Herbert!! Whilst there are no shortage of choices I think marking the 1971 double side 50 years on would be great for those squad members still with us and their families, whether that is a statue of Frank McLintock with the cup or Charlie George celebrating!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…