Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Achana naye huyo stress za maisha zinamsumbua sana.
 
Ku
Kufeli huwa tunaangalia malengo uliyopewa, sio hayo mengine.
 

Unatoka nje ya reli, point ilikuwa Arteta kumsucceed Pep Man city, ebu rudia kusoma ulichoandika, Not worth the energy.
 
Unatoka nje ya reli, point ilikuwa Arteta kumsucceed Pep Man city, ebu rudia kusoma ulichoandika, Not worth the energy.
Nje ya reli wakati wewe huweleweki kama sigara kali kila mda unabadilisha magoli na kocha wako kimeo.

Sina cha ziada cha kusoma kutoka kwa mtu anaye endekeza mahaba kuliko uhalisia,toka kwenye hayo mahaba yako vaa uhalisia wa kwa hali ya sasa Arsenal aliyokuwa nayo, ndipo utanielewa nilicho kiandika.
 
Angalia asijekujinyonga huyo Chifu, si unajua jinsi gani washabiki wa Arse8 wanavyopitia wakati mgumu na maamuzi wanayochukuaga yasiyotabirika
 
Mesut Özil aliyekuwa mchezaji wa Arsenal katikati ya mwaka 2013 na 2021 ameandika twitter, "Trust the process" akimaanisha Tuwe Na Imani Katika Mchakato wa kuifanya klabu kuwa Bora unaofanya na kocha wake wa sasa Mikel Arteta Amatriain. Post hii ni baada ya Arsenal kufungwa bao 5 bila na Man City.
 
Jamaaa anatutania kistar. Haya bhana. Sisi hatuna budi aidha kuendelea kuvumilia na kushabikia mpaka timu yetu iinuke, au kuandamana uongozi ubadilike
 
Niliwahi kueleza Arteta na Edu Gaspar ni tatizo na chanzo cha migogoro, wengi humu walichagua pande! Sasa ni wazi hilo linaonekana Torreira, Guendouzi, Maitland-Niles, Cedric, Mavropanos na Saliba hawamuelewi, hii inatafsiri jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…