Kwa kocha Arteta na wachezaji wale wale wanaopigiwa kelele miaka nenda rudi hakutakuwa na jipya, na kama Brentford aliwatoa jasho Arsenal timu kama Everton Spurs Manchester United Liverpool itakuwaje?hakuna haja ya kujipa moyo sababu up to now ilitakiwa Official statement ya Arteta kufutwa kazi iwe tayari imetoka but wapo kimya it means management wanafurahia haya matokeo ya point 0 na goal scored 0 katika mechi 3
So what will be the future plan?to remain with the same idiot coach until the end of the season?I think the Bigger team must take reaction very quickly but instead they are quite up to now,it means they are satisfied with these results,next match fans need to take reaction by not going to the stadium vs Norwich and see what will happen
mimi sio huyo jamaaComputerarsenal aka msangarafu tuishi humu, huyo ni mqatar mnamuomba anunue timu
View attachment 1916810
mimi sio huyo jamaa
pamojaMsangarafu mwanangu sana
Willian amevunja mkataba wake na Arsenal.
Huo mkataba ulimaanisha alipwe 20M. Amekubali kwenda Corinthians ili kuwaepusha Arsenal na kudeal na weekly wage kubwa.
Kabla haujamtaja Ozil aliyegoma kuondoka na kuamua kusubiri mkataba uishe nataka tukumbuke aliyemsaini Willian ni nani? Na uzee wote na kuja kwenye pre season akiwa overweight but Willian alikua analipwa 240K per week.
Unamlipaje mshahara mkubwa mchezaji ambaye umri umeenda na siyo world class? Wakati city na chelsea zimenunuliwa na wajasiriamali they played hiyo karata ya mishahara mikubwa ili kuvuta stars.
Arteta akamvuta Willian.
Sasa ona hapa. Lyon wamemuoffer Aouar kwa Arsenal tangu wiki mbili nyuma, Arsenal haijarespond chochote. Arsenal ilihusishwa na Camavinga ila jana Madrid kamsaini Camavinga.
Camavinga bado mdogo. Huu uhamisho sidhani kama ni sahihi kwake kwenda timu kubwa kama Madrid ambayo ina watu itabidi awavuke kabla ya kupewa namba. Luka Jovic alienda pale na nahisi anajuta, Fabinho pakamshinda kabisa. Kovacic akakimbia mpaka akaibukia chelsea.
as usual, exepect a late dramaWillian kaplay it fair, kuacha £20m inatosha kupewa heshima mambo hayakwenda sawa kwa upande wake
Nahisi leo tunaweza kumsajili aouar kutoka Lyon
Let's wait and seeWillian kaplay it fair, kuacha £20m inatosha kupewa heshima mambo hayakwenda sawa kwa upande wake
Nahisi leo tunaweza kumsajili aouar kutoka Lyon
Real Betis wamefikia makubaliano na BellerinWillian kaplay it fair, kuacha £20m inatosha kupewa heshima mambo hayakwenda sawa kwa upande wake
Nahisi leo tunaweza kumsajili aouar kutoka Lyon
Hiyo late drama itakua si mchezo.as usual, exepect a late drama
Ngumu sana kuhama timu.Let's wait and see
Hiyo late drama itakua si mchezo.
RB, CM, Winger na ST
Auba anasema inabidi wao wachezaji wakae chini waambiane ukweli.Tukianza na Norwich nahisi arteta ataenda na Ramsdale
gabriel, white, lokonga, partey
Game yetu isipochange basi
Auba anasema inabidi wao wachezaji wakae chini waambiane ukweli.