Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi naona body wasione shida kumrudisha mzee Wenger ili asaidie kuweka mambo kwa kuwa sio kitu kipya kufanya hivyo tukumbuke hata bayern Munich walifanya hivyo kipindi fulani baada ya kocha wao kustaafu lkn alirudishwa kwa msimu mmoja kuweka mambo sawa
 
Wakifunga hata goli moja wanarudi nafasi ya 19. Wakifunga mawili wanafika nafasi ya 18. So mim nawashauri wafunge hata goli 3 ili watoke kule chini
 
Tutayashinda majaribu yote, walioenda shule wanasema : we shall bounce back:
Kwa kocha Arteta na wachezaji wale wale wanaopigiwa kelele miaka nenda rudi hakutakuwa na jipya, na kama Brentford aliwatoa jasho Arsenal timu kama Everton Spurs Manchester United Liverpool itakuwaje?hakuna haja ya kujipa moyo sababu up to now ilitakiwa Official statement ya Arteta kufutwa kazi iwe tayari imetoka but wapo kimya it means management wanafurahia haya matokeo ya point 0 na goal scored 0 katika mechi 3
 
in football, hiring and firing is not a panacea for all problems
 
in football, hiring and firing is not a panacea for all problems
So what will be the future plan?to remain with the same idiot coach until the end of the season?I think the Bigger team must take reaction very quickly but instead they are quite up to now,it means they are satisfied with these results,next match fans need to take reaction by not going to the stadium vs Norwich and see what will happen
 
Hello guys. Poleni wote. Hali yetu kwa sasa ni mbaya kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…