LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 296
- 261
What!?😳😳😳dah!! wanaa Arsenal wenzangu..huu mwanzo wa Epl umekuwa mchungu mno kwetu😓😓hopefully baada ya international break timu nzima itakuwa imerejea wote wakiwa wazima..#yoyg.. dahh!!
Kuna muda nawaza labda mzee Wenger angerudishwa angalau kwa msimu mmoja tu ili timu irudi kwenye njia maana fedheha kubwa mno kuona timu km arsenal inavyohangaika uwanjani.Timu yenye historia kama arsenal ni aibu kuanza msimu kwa mtindo huu.
Apparently mpaka wachezaji wameonyesha kukerwa. Sasa nimeshangaa wanakerwaje wakati wao ndiyo wapo uwanjani?
Nikupe pole chief. Unaonyesha kuumizwa sana na haya matokeo. Pole sana...dah! take easy!..japo inaumiza mno!..ila ni suala la muda baada ya mapumziko ya kiamataifa, tutarejea sawa kaka.
Mtu kama Wenger inabidi awe pale kama DOF au CEO. Yule Vinai nafasi haimfaiKuna muda nawaza labda mzee Wenger angerudishwa angalau kwa msimu mmoja tu ili timu irudi kwenye njia maana fedheha kubwa mno kuona timu km arsenal inavyohangaika uwanjani.
Kuna watu wanaona tatizo liko kwa wachezaji kwamba tuna wachezaji wa daraja la chini ambao hawana hadhi ya kuvaa jezi ya arsenal. Km hili ni kweli ebu tujiulize maswali mawili ya msingi kwamba "Brentford wana-quality players kuliko arsenal? Je Wenger aliwezaje kufanya vzr akiwa na striker tegemezi chamack?" Lkn leo tuna laccazet, Aubameyang, pepe, odegard na partey ila ndo timu iko hovyo kuliko vipindi vyote ambavyo tumekuwa tukiiona arsenal
..imeshakuwa sehemu ya maisha, Castr..No need to complain anymore. inauma sana...familia yangu...Nikupe pole chief. Unaonyesha kuumizwa sana na haya matokeo. Pole sana.
Katika maisha kuna wakati you have to completely go down and loose any spark of breath before you start afresh.I believe in arsenal and mostly it's building prospects.arsenal ya msimu huu huenda ikaja kuwa arsenal Bora kuliko arsenal yoyote iliyopita ndani ya miaka 10.ukiangalia ni kama kuna ghorofa linabomolewa ili lijengwe jipya...wana familia tupungunze lawama.."COME ON YOU GUNNERS..ni suala la muda tu.
Mkuu utaishi miaka mingi sana weweKatika maisha kuna wakati you have to completely go down and loose any spark of breath before you start afresh.I believe in arsenal and mostly it's building prospects.arsenal ya msimu huu huenda ikaja kuwa arsenal Bora kuliko arsenal yoyote iliyopita ndani ya miaka 10.ukiangalia ni kama kuna ghorofa linabomolewa ili lijengwe jipya.
Approach ya kocha inaweza kuwa kero kwa wachezaji hadi kukosa morali.Timu yenye historia kama arsenal ni aibu kuanza msimu kwa mtindo huu.
Apparently mpaka wachezaji wameonyesha kukerwa. Sasa nimeshangaa wanakerwaje wakati wao ndiyo wapo uwanjani?
Kweli?Leo ndo mngecheza na Liverpool na mkawa pungufu, mamaae mngekula hata 50
Kabisa aiseeeArteta ni kocha mzuri apewe muda.