Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,789
Lampard hawezi kuwatoa hapo mlipo. Makocha wa aina ya Ole, Viera, Lampard ni vichefuchefu tu.Conte wa nini mzee.? C tumekubaliana lampard yupo
hakikaAachie madaraka akaongoze arsenal
Arsenal inahitaji over haul. Conte nimemtolea mfano tu. Ila hao kina lampard hawawezi kuijenga timu. Si unakumbuka alivyoijenga Chelsea na akashindwa kufikia malengo?CONTE huwa anakuja na list ya wachezaji, akitua Ase8 atataka bodi isajili:-
Haaland
Casamero
Mbappe
Oblak
Son
Ili ubakiwe na nani? Hamna Kocha hapaEh huyo bwana na Leno walivyolazimisha kuondoka wangeachiwa
Haya sawaIli ubakiwe na nani? Hamna Kocha hapa
Huna midfielder kama xhaka ndugu. He is your best
Pole sana kaka. Najua unaumia sana but chukulia kawaida tu. Mpira ndiyo ulivyo. Najua kwa sasa mnapitia kipindi kigumu sana but usitetereke IPO siku mtasimama tena.Basi tumekoma tusameheni
Mkuu mnawaza kwa kutumia nini wenzetu?? timu pekee mpaka sasa hazijafunga goli lolote ni arsenal, wolves, crystal palace na norwich. Hii ni game ya mwanzo ya week 3, mpaka tukifikia game ya mwisho ya week hii pengine crystal palace, wolves na norwich watakuwa washafunga japo goli. Hapo pia kwa tajiri??This is not acceptable, timu ndani ya mechi 3 inashika nafasi ya 20. haijawahi kutokea ni wazi uwekezaji kwenye timu umemshinda. Kwa Nini asiwaachie wenye uwezo?
Hatuwezi hama mzee kupigwa mechi tatu sio kitu,we are still strongHehehehehehehe naendelea kucheka najua leo jukwa hili leo atabakia shabiki 1 wa Arsenal hehehehe karibuni PSG!
Alikuwa anadanganya wenziwe kwamba arteta ni guardiola mdogo hahahahahahahahYule jamaa wa kuitwa Aaron Arsenal yupo wapi siku hizi.
Acheni kupotosha ni 81 kwa 19Ball position city 91% kwa 9% Arse8