Natambua kwamba Kocha mnasajili muda wowote. Ila.mnadhani Conte atakuja wakati anajua fika dirisha limefungwa na Arsenal hii ni mbovu?Duuuuuh!!!!!!!Hawa jamaa waloanza kushabikia mpira kutokana na BETTING bhana!!!!
Eti dirisha litakuwa limefungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Conte hatokuja wakati dirisha limefungwa. Yaani arsenal hii mbovu ije imshushie CV? Hatokuja sababu anajua hawezi kusajili muda utakuwa umepita.Jamaa anafikiri makocha nao wana dirisha la usajiri!..
Wewe nani kwani, mke wake?Conte hatokuja wakati dirisha limefungwa. Yaani arsenal hii mbovu ije imshushie CV? Hatokuja sababu anajua hawezi kusajili muda utakuwa umepita.
Acha kuwa kichwa ngumu. Conte haendi timu za kibahili.Wewe nani kwani, mke wake?
Hamia chelseafc upate raha uondoe stress maisha yetu tu yanatupa stress na mpira ukupe stress kweli?
Ndivyo unavyojidanganya?... Subiri ujionee mambo yatakavyokuwaConte hatokuja wakati dirisha limefungwa. Yaani arsenal hii mbovu ije imshushie CV? Hatokuja sababu anajua hawezi kusajili muda utakuwa umepita.
Nyie ndio mnajidanganya. Conte yupo tayari akae nyumbani kuliko kwenda sehemu ambayo ambayo anajua fika haina mipango ya timu kusonga mbele.Ndivyo unavyojidanganya?... Subiri ujionee mambo yatakavyokuwa
Lucas Torreira ameuzwa Fiorentina kwa 15M.
Mwanzoni ilitarajiwa ataondoka kwa mkopo ila mazungumzo yamefikiwa na Torreira kaenda zake Italy.
Chief reporter wa Arsenal hajaripoti Arsenal kufanya mazungumzo na yoyote zaidi ya Xhaka kuextend mkataba na Laca kubakiTumeuza, who are incomings?
HahahahaWaliosema magoli yatachaguliwa ya training hawakujua kama leo kuna mechi
As die hard arsenal fan na appreciate kinachofanyika ila it's too early brotherKwa leo mpaka hapa chama langu limenifariji