Nigga is madduuh
mbona kama maneno ya vibarazani
Tunaona bora twendelee na utaratibu wa kufungika ili wabosi akili iwakae sawa, ikiwezekana tushuke tu daraja halafu akili nzuri na ubahili utatuondoka au we mwenzetu unaoanaje?Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
hakikaHuwezi kushinda mechi na wachezaji aina ya Balogun na Smith Rowe
Kwaiyo mkuu wewe unawacheka arse8 wenzako???Hehehehehe mind you,Arsenal this season hashiriki michango ya ulaya still katika 2 games ana points 0 na hajafunga goli hata 1 hehehehehehehe
May be time will come and the team will start to win but in no way that will mean Arteta is a fine coach for a club like arsenal.Nikiangalia livescore naona timu yetu inasumbuliwa na kukosa attack minded forwards au wenzangu mnaoangalia mechi mnaonaje?
Kiongozi tangia last season tumepayuka sana humu jukwaani Arsenal kwa kocha huyu na wachezaji hawa hawa bila kumfukuza Arteta na kupata kocha bora wa kiwango cha dunia na kusajili Big players(nasisitiza Big players) Arsenal kuna siku itashuka Daraja,wengine wakasema sisi Mamluki, mfano unampaje Smith Row jezi namba 10Kwaiyo mkuu wewe unawacheka arse8 wenzako???