Vinabo niliowataja ndiyo wanatulambisha mchanga sasa kama mimi mzururaji wa Tz naweza wapoint wachezaji hatari wa timu pinzani hii chapati inashindwaje?
Mhhh ngoja tuangalie Mpira!Team PSG!heee la 2 hilooooooo narudia mpaka August 28 hili jukwaa litabaki na shabiki 1 wa Arsenal wengi watapotea humu!nliandika last week inahitaji uwe na degree ya Mirembe kuamini tutanfunga Chelsea na Manchester City after kupigwa na Brentford
Ushakula viwili na unaweza ukaongezwa second half na Manchester City atakutia aibu jumamosi watu tunataka furaha hatutaki stress ni kama una demu anakupa stress ya nini kumnganania unamtupa kule mbali unaopoa mwingine