Nilifikiri Lukaku asingeanza. Ameanza.
Yeye, kai, mount, james wana speed, ingawa ya lukaku ni burst power ila inatosha kumuacha mbali CB.
Naona wako vizuri huku mbele. Plus wanacheza kitimu then game siyo nyepesi kwetu.
Ingekua bomba kama Martinelli ndiye angekaa CF. Pepe abaki nje kwa ajili ya cut in na score.