Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa kwa namna uliyoanza kuandika inakua ngumu kidogo mimi na wewe kukaa meza moja.
Ukiangalia uandishi na hoja wanazozitoa mashabiki na Chlsea wanaotembelea Thread ya Arsenal, utagundua kuwa Chelsea ina supporters wengi ambao ni ma-idiots. '
Sitawataja kwa majina, mnaona wenyewe.
 
Mazungumzo kati ya Kolasinac na Fenerbahce yanaendelea na Frankfurt wamesema wanamtaka Torreira katika permanent deal
 
Bila kusahau Chelsea ndio kablu yenye mafanikio hapo epl toka mliposhinda kombe la ligi ezi hata wengine hawajazaliwa
 
Duuh kwa hiki kikosi
Benchi hamna mchezaji wa maana hata walioanza ni wa kusuasua

ila tunawafunga hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…