Chelsea anawapakueni, hilo halina ubishi.Odegaard tayari amewasili London na kwa kuwa ana chanjo zote mbili hatakiwi kuwa karantini.
Hivyo huenda akacheza jumapili dhidi ya Chelsea.
Arsenal inapewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hiyo pamoja na ile na Manchester City.
Ila lolote laweza kutokea.
Kuna mechi fulani Auba alichelewa kufika uwanjani Arteta akampiga benchi ule uamuzi ulidhihirisha kwamba Arteta naye ni no nonsense managerTimu ya Arsenal imekosa leadership na nidhamu.
Nyuma ya pazia kuna mengi hayasemwi yanatokea.
Auba na Laca hawakuwa wanaumwa mechi na Brentford.
Antonio Conte ni "no-nonsense manager" ndie atawaweza wachezaji wa Arsenal ambapo pia ni legelege.
Conte akienda Arsenal itacheza kama Inter au alipokuwa Chelsea na Auba na Laca watacheza kama Lukaku watake wasitake.
Lini?Onana tayari amesajiliwa na Lyon.
Wiki kama tatu zimepita.Lini?
Sijaiona ripoti yake ila kama kasajiliwa kipa wamepata. Ngoja sisi tuone Odegaard atatusaidiajeWiki kama tatu zimepita.
Kwa kuwa bado anatumikia kifungo cha kutumia "banned substances" kifungo hicho kinaisha tarehe 4 November ndio ataanza kucheza.
Futa hiyo kauli ya lolote linaweza kutokea maana tunaweka full mziki.Odegaard tayari amewasili London na kwa kuwa ana chanjo zote mbili hatakiwi kuwa karantini.
Hivyo huenda akacheza jumapili dhidi ya Chelsea.
Arsenal inapewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hiyo pamoja na ile na Manchester City.
Ila lolote laweza kutokea.
Sijaiona ripoti yake ila kama kasajiliwa kipa wamepata. Ngoja sisi tuone Odegaard atatusaidiaje
Conte hawezi kuja kwenye hii timu matakataka hivi mnapata wapi hata uwezo wa kuwaza tu hilo?Edu na Arteta ni vijana sana kwenye suala la uongozi, hivyo nao wana mambo yao ya kujidai wanafahamu kila kitu.
Na hivyo mwenye timu Stan Kroenke kawaamini basi wamevimba vichwa.
Ila za chinichini zasema Antonio Conte anaandaliwa na Arteta amepewa mechi 13 tu.
Ndo hawezi kuja sasa. Hamna hela ya kumlipa conte nyinyi wa kumpa hela asajili. Tena dirisha likishafungwa Conte ndo mmsahau mazima.Timu ya Arsenal imekosa leadership na nidhamu.
Nyuma ya pazia kuna mengi hayasemwi yanatokea.
Auba na Laca hawakuwa wanaumwa mechi na Brentford.
Antonio Conte ni "no-nonsense manager" ndie atawaweza wachezaji wa Arsenal ambapo pia ni legelege.
Conte akienda Arsenal itacheza kama Inter au alipokuwa Chelsea na Auba na Laca watacheza kama Lukaku watake wasitake.
Arsenal asipoifunga chelsea na united atamfunga nani mwingine?Futa hiyo kauli ya lolote linaweza kutokea maana tunaweka full mziki.
Kila nikiangalia naziona 6 bila kama za Wenger.
Ramsdale amechezea bournemouth imeshuka daraja. Akaenda Sheffield, sheffield imeshuka daraja pia.Deal for Ramsdale is almost done, huyu ni mzuri kuliko Leno.
Ramsdale amechezea bournemouth imeshuka daraja. Akaenda Sheffield, sheffield imeshuka daraja pia.
Kipa mzuri. Kaconcede magoli mengi.
Kipa mzuri. Kashusha timu mbili daraja.
Kipa mzuri. Clean sheet chache.
Mi najua tunatofautiana vigezo mpaka kuazimia kwamba fulani ni bora hivyo nitaheshimu maamuzi yako. Ila kama yapo influenced na Edu basi kazi ipo.
Auba to Barca. Ingawa romano amesema Laca ana nafasi kubwa kuondoka kuliko auba
Hoja ya mtu kuitwa haihalalishi kiwango chake kama ni kibovu ama la. Kama tunaweza kusema mchezaji mmoja mmoja amehusika kuipa timu mafanikio, mfano Gerd muller na cruyf, sasa kwanini tusiseme mchezaji mmoja mmoja anainyima timu mafanikio?Hii analysis yako ni kali. Kwa hiyo wewe unaamini kwamba mtu mmoja ndio anashusha timu daraja!!!! Kwamba timu hata kama ina keeper kama Allison wa Liverpool lakini ina defense mbovu, keeper ndio anapaswa kulaumiwa kwa kufungwa magoli!!!!! Unafikiri angekuwa mbovu Southgate angemuita timu ya taifa kama kipa namba 3?
arsenal inaenda kubakwa j2Arsenal asipoifunga chelsea na united atamfunga nani mwingine?
Ni mpaka tupate kibonde mwingine ndiyo tutawaonea huruma ila kwa sasa ni mwendo wa fimbo tuarsenal inaenda kubakwa j2
Nigga umeandika nini hapa?Tukumbushane tu ,kila tukikaribia kukata tamaa tukumbuke wachezaji wa arsenal wanafanya mazoezi na team bado inayo mashabiki,mapambano yaendelee.Blue is the most beautiful colour .
Mkuu hizi za chini chini umezipata wapi?Edu na Arteta ni vijana sana kwenye suala la uongozi, hivyo nao wana mambo yao ya kujidai wanafahamu kila kitu.
Na hivyo mwenye timu Stan Kroenke kawaamini basi wamevimba vichwa.
Ila za chinichini zasema Antonio Conte anaandaliwa na Arteta amepewa mechi 13 tu.