isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
Naamini anaweza fit pia ikiwa hawa watatu wa kati, wawili watakuwa nyuma yake na yenye atakuwa mbele yao.kuna sehemu nimeona Arteta kapanga kwenda na 4-3-3 ila sasa Xhaka doesnt fit into that, unasemaje kuhusu hilo au ndio tutamzomea tena rafiki yako?
hii timu bnaHadi vitoto vyenu vinakandwa kwl aseno kibonde[emoji23]View attachment 1895316
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Ana CV gani?Mtu pekee wa kuiokoa Arsenal sasa hivi na kuendelea View attachment 1895322
Christophe Galtier
poleNilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Huku nilipo ni changamoto, nimeenda jioni hospital zote wameishafunga hakuna vipimopole
kwahiyo hospital za mikoani ni rubbish?
jiheshimu
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
hela katoa ipimbona mshakaji katoa hela ila wanaenda kusajili white
hiyo ikiyotumika kusajili hadi sahivihela katoa ipi
Hajakosea.pole
kwahiyo hospital za mikoani ni rubbish?
jiheshimu
Wazee tukimpata Odegaard na Ramsdale hatutahitaji tena RB na Performance wise tutakuwa fire sana.
Pole sana mkuu, wish you a quick recovery!!Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Pole sana mkuu, wish you a quick recovery!!