Arsenal (The Gunners) | Special Thread

asernal mi kama Yanga tu uwezo wa kushinda hata gemu ni shida
 


Kule amekuwa star wa timu. Kama kweli basi kila la kheri kwa Joe Willock. Labda Sambi yuko vizuri kuliko Joe katika ukabaji. Je anamzidi katika ushambuliaji? Nakumbuka dogo alifunga magoli mengi zaidi ya kina Partey na Xhaka msimu uliopita.
 
Hii timu yangu inanichosha sana kila nikiingia kwenye huu uzi kejeli zimezidi sasa
 
kijana kaenda kwa bei ya vunjabei, aliscore 7 consecutive games last season, hii damu ya Arsenal utashangaa misimu miwili mbele dogo anaenda Big club. Tumeuza wachezaji kama Emi,Guendouz,Willock, next Saliba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…