Aouar bado sana kwa tim kam Arsenal na Ligi kam ya Premier. Nafuu madson hata uyo locatelli bado sana.Binafsi naona Aouar ni bora kuliko maddison, unajua aouar ni sawa unazungumzia mchezaji kama Carzola au Nico pepe yaani wale super talented muda wowote wanaweza kurecover form.
Hawa wachezaji wa statistics huwa siwaelewi, statistics zinaonesha Rob holding ndio CB bora kuliko wote hapo Arsenal last season, ajabu Ben white anakuja kuTake his chance.At least Tungempata Jack Grealish ingekuwa poa
Dogo kupewa No 10 inaonesh dili la madson limekufa kwasbb madson hawez kuja arsenal akapewa namba tofauti na 10Hatimaye Emile Smith Rowe kasaini mkataba wa muda mrefu.
Kuna hii ishu inaendelea.
Arsenal tunamtaka Maddison, Leicester inamtaka AMN. Hapo vipi?
Oyah, hata mimi nawashauri msajilini Maddison kuliko huyo huyo Aour.Mkuu Kuna sababu nyingi za Maddison kusajiliwa Arsenal,
kwanza ni Homegrown player anapunguza namba ya Foreign players ( Ozil aliachwa kikosini last season sababu hii), pia anauelewa mzuri wa ligi already proven..
kwa upande wa Aouar akisajiliwa Arsenal mimi naona analeta kitu kimoja tu Creativity na ndio kazi yake.
Swali hilo linaonesha kua umekubali kua Arsenal ni sawa na Aston villa.Wenye Martinez wanashika nafasi ya ngapi?
Hapa tunaongelea Arsenql na Villa au tunaongelea timu yenye Martinez? Unashindwa kuelewa kitu chepesi kama hichi?Swali hilo linaonesha kua umekubali kua Arsenal ni sawa na Aston villa.
Bro, una ubishi wa kiha.Hapa tunaongelea Arsenql na Villa au tunaongelea timu yenye Martinez? Unashindwa kuelewa kitu chepesi kama hichi?
Unazingua.Bro, una ubishi wa kiha.
Kwanini asipewe, hana ukubwa huo.. Zidane kafika madrid akavaa namba 5, cr7 akaanza na namba 9.Dogo kupewa No 10 inaonesh dili la madson limekufa kwasbb madson hawez kuja arsenal akapewa namba tofauti na 10
Poa, mwana ndugu, nimekusoma.Unazingua.
Kitu chepesi ninachoweza kukwambia ni hicho.
Alianza na 9 kwakua alimkuta Raul akiwa na 7Kwanini asipewe, hana ukubwa huo.. Zidane kafika madrid akavaa namba 5, cr7 akaanza na namba 9.
Wana bahati mbaya.Naona Man city wameshindwa kuchukua kombe (UCL) sasa wanataka kulinunua kivyovyote, Kane £160m, Grealish £100m, in total £260m.
wewe unashabikia timu gani mze??Hii timu haina tofauti na ambarutiii
Matakataka ya London naona mpo umnapeana umbea
wewe ni shabiki wa timu ipi!!??mwana uingereza?Matakataka ya London naona mpo umnapeana umbea
Chelsea hyuwewe ni shabiki wa timu ipi!!??mwana uingereza?