Abraham hawezi kuja pale.Arteta akimsajili huyo Abraham nitajua hana nia ya kuchukua ubingwa kabisa!.. Mimi naamini hizi ni rumours tu
Hilo ndilo tatizo lake!.. Mpaka mipira imfuate!.. Ila ni finisher mzuri mzuri.. Sasa kwa Arsenal yetu hatuna watu wa uhakika wa kutoa assist za maana.... Anyway labda kocha anaweza akawa anajua namna atakavyomtumiaAbraham hawezi kuja pale.
Juzi nimeona amesema yeye ni shabiki wa Arsenal. To be fair ana finishing nzuri, shida yake ni kwamba hawezi kuoffer kitu tofauti na finishing, ikatokea mmebanwa mipira haiendi mbele na yeye ndiyo haonekani tena.
Si ni bora tubaki na Lacazette huku Mrtinelli akiendele kijiimiarisha? Naona kama Martinelli amemzidi Abraham maeneo kibao tu.Abraham hawezi kuja pale.
Juzi nimeona amesema yeye ni shabiki wa Arsenal. To be fair ana finishing nzuri, shida yake ni kwamba hawezi kuoffer kitu tofauti na finishing, ikatokea mmebanwa mipira haiendi mbele na yeye ndiyo haonekani tena.
Yea Martinell kwa Abraham kazidi. Amemzidi skills na paceSi ni bora tubaki na Lacazette huku Mrtinelli akiendele kijiimiarisha? Naona kama Martinelli amemzidi Abraham maeneo kibao tu.
Ngoja msimu uanze kifupi sina imani na hizi sajili.Haya majembe tuliyosajili ni mazuri kwetu ama tumekosea usajili?
Tunahitaji kusajili na kocha mpya pia.Hizi sajili ukijumlisha na huyu kocha wetu, tumawezq kujikuta tukawa timu ya mid table.. Kina Everton hao
Msimu unaisha Arsenal ni timu ya tatu katika timu zilizofungwa magoli machache.Ngoja msimu uanze kifupi sina imani na hizi sajili.
Muda utazungumzaMsimu unaisha Arsenal ni timu ya tatu katika timu zilizofungwa magoli machache.
Bado sijagive up na hii timu haswa kwakua usajili unaendelea
Tulikosa ubunifu katika kushambulia na kutengeneza chances. Labda msimu huu tutaboresha upande huu wa game yetu.Msimu unaisha Arsenal ni timu ya tatu katika timu zilizofungwa magoli machache.
Bado sijagive up na hii timu haswa kwakua usajili unaendelea
Nilifikiri sokoni ataletwa kiungoTulikosa ubunifu katika kushambulia na kutengeneza chances. Labda msimu huu tutaboresha upande huu wa game yetu.
Kwan huu mwaka mliingia top 5? Mbona mmeshazoea tu kuwa nje ya big 6.Halafu kinachonishangaza Mimi wanaondoka wachezaji wazoefu na tunasajili wachezaji chipukizi !!!
Kama hatutasajili wachezaji wazoefu mwakani hata top 5 hatutakuwemo!!
DM yupo Partey anacheza, hapa shida ni nafasi ya Xhaka anaondoka, na tupate AM matataKama itakuwa hivyo itakuwa poa sana.. Wamlete Maddison na waongeze DM mmoja wa maana kabisa
Chipukizi ndio wataturudisha UEFA, sio hao wazoefu, wanalipwa pesa mingi Afu impact wanaleta watoto kina Rowe na Saka..Halafu kinachonishangaza Mimi wanaondoka wachezaji wazoefu na tunasajili wachezaji chipukizi !!!
Kama hatutasajili wachezaji wazoefu mwakani hata top 5 hatutakuwemo!!
Kwa Aouar sijui kama tutampata maana inasemekana Arsenal wamekata mawasiliano huko na sasa tottenham wanataka kufanya swap deal.. Ngoja tusubiri tuoneDM yupo Partey anacheza, hapa shida ni nafasi ya Xhaka anaondoka, na tupate AM matata
Arsenal tunawahitaji Aouar na Madders wote kwa pamoja, mmoja aShift no.8 mwingine abaki no.10 maana wote wanacheza hizo namba..
Kwa Aouar sijui kama tutampata maana inasemekana Arsenal wamekata mawasiliano huko na sasa tottenham wanataka kufanya swap deal.. Ngoja tusubiri tuone
Inatokea kwenye Football, hata Nabir Fekir ilikuwa hivyo kipindi Liverpool wanamtaka walivyomtosa na Bei ikashuka akaenda BetisBahati mbaya sijamfuatilia Aouar, kinachonipa mashaka ni why has his price dropped significantly compared to last season?
Hawaeleweki hawa, Eti Tammy Abraham huyu naye mchezaji?Kwa Aouar sijui kama tutampata maana inasemekana Arsenal wamekata mawasiliano huko na sasa tottenham wanataka kufanya swap deal.. Ngoja tusubiri tuone