Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya majembe tuliyosajili ni mazuri kwetu ama tumekosea usajili?
 
Dogo anaonekana ana kila sifa ya kuwa best on the pitch, interview yake inaonesha ana good personality, I hope tumepata mfia timu kama Patrick Viera.
uyo ni kipepe mwenye nywele2 usijipe moyo
 
Hivi musonda kaanza mazoezi na wakina zouma?
Sasa bro kumbuka hayo ni majina ya mabingwa wa ulaya na sio unatuletea ety akina pepekale na wahuni wenzake nani anawajua kwenye hii dunia.?
 
Arsenal nyie subiri tuwape Abraham ili angalau tuwaongezee idadi ya wanaume wenye uefa zao
 
Sure, kitu kizuri Arsenal wamesema wanataka Mchezaji anayefeel happy kucheza Arsenal, nafikiri hawatopush tena hili deal.
 
Nyuma kwakweli hatuko vibaya kama hapo katikati lakini kwa kuwa david luiz kaondoka ni vizuri tukaongeza CB mwingine na hapo ndipo suala la kuongeza mtu makini linapokuja. Mimi naamin Ben white atatusaidia sana. Eneo la kati ni la muhimu zaidi ila nashangaa wananunua wachezaji wa paund m20. Hapa kati ndio panatakiwa kumwaga pesa ya maana ili kupata DM mmoja wa maana na namba 10 mmoja kariba ya akina maddison. Kule mbele.. Kiukweli tungepata watu wawili hapo kati wa angalau paund m50 hata huyo ben white asingekuwa wa muhimu kihivyo.. Kwa vile inasemekan msimu huu kocha kapew mzigo wa maana kwa ajili ya kusajili pengine ana fedha za kutosha kuimarisha hapo kati.
 
Ben White usiongelee tena, ni deal done, bado medical. Mimi hapo akiongezeka Maddison, siku hiyo nitafanya sherehe
Daah!.. Safi sana!.. Tukimpata maddison tutaanza kutembea huku mabega yapo juu.. Right back hakuna haja ya usajili as long as yup soarez na bellerin kule kushoto yule dogo mpya anatosha sana kumsaidia Tierney..
 
Kama itakuwa hivyo itakuwa poa sana.. Wamlete Maddison na waongeze DM mmoja wa maana kabisa
 
Tena Balogun akiona mipira haiji anaifuata huko huko. There is a reason klabu zaidi ya sita zinamuwania
Arteta akimsajili huyo Abraham nitajua hana nia ya kuchukua ubingwa kabisa!.. Mimi naamini hizi ni rumours tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…