KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,982
- 3,242
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante Majirani kwa kutuacha uchi wa Mnyama[emoji19][emoji19] hatuna la kuongea kwa sasa zaidi ya kutafuta nguo ipo wapi ili tuzibe uchi tumekuwa timu ndogo na ya kutia aibu London!Mmefukuza Lampard January May mmebeba Champions [emoji471]league nothing else to say
π€£π€£π€£π€£π€£Wachezaji wengi wa Arsenal wakitoka kwenye timu yetu wanaenda kupata mafanikio (Van persie Fabregas Ramsey Sagna Clichy Chamberlain Vermaelen Willock(huyu kawa EPL best player mwezi May) na even Giroud kabeba champions league ?kumanina Arsenal