Namaanisha sisi fans tutaendelea tu kujadili chama letu kwa marefu na mapana. Tukisikia tunampata mchezaji mpya tutakuja huku kumsifia. Tukisikia tunauza mchezaji tutakuja huku kufurahia au kuhuzunika. Ndio mpira ulivyo. Kazi iendelee.Kazi gani mkuu? Kuna kazi hii timu huwa inafanya hapo EPL?
Brother let's be serious bhana 😀😀Nilitarajia kusikia Arsenal iwe imepeleka ofa hata sehemu nne mpaka leo
Sa itakuaje? Na Villa wamejitosa kumuwania Buendia isije kua tunaingia mkenge wa GrealishBrother let's be serious bhana 😀😀
Ngoja msimu uanze ili tupime vizuri. Good thing tutakua kwenye local campaigns mbalimbali kwahiyo ana chansi ya kuprove sehemu nyingi.Nicola Pepe, pesa yetu imeanza kulipa sasa mazee...
Mkenge wa Grealish vipi bro??Sa itakuaje? Na Villa wamejitosa kumuwania Buendia isije kua tunaingia mkenge wa Grealish
Inasemwa Arsenal inamtaka Grealish. Isijekua Villa wanamtoa Grealish ili kumpisha Buendia na huyu Grealish hana takwimu nzuri kumzidi Buendia.Mkenge wa Grealish vipi bro??
Na wewe bro unaamini Grealish atakwenda Arsenal???? Aache kwenda City na United na Chelsea au Liverpool aje Arsenal??Inasemwa Arsenal inamtaka Grealish. Isijekua Villa wanamtoa Grealish ili kumpisha Buendia na huyu Grealish hana takwimu nzuri kumzidi Buendia.
Ndiyo maana nimesema isijekua Arsenal inaingia mkenge wa Grealish.
Shida ni sitajua kama umetembea kwa mguu kweli😅Na wewe bro unaamini Grealish atakwenda Arsenal???? Aache kwenda City na United na Chelsea au Liverpool aje Arsenal??
Ntatembea kwa mguu kutoka Zenji mpaka Dar na kama wewe utakuepo Dar nije nkupe zawadi ya 500,000. Screenshot hii post na hili likitokea uje unidai
Nakubaliana na wewe kwa sababu ya kwanza. Sababu ya pili nakupinga mpaka nikifa na nikifufuliwa mkuu. Jack ni overhyped???Shida ni sitajua kama umetembea kwa mguu kweli😅
On a serious note Jack hawezi kuja Arsenal kwakua price tag ni ndefu.
Ukiachilia hivyo naamini uwezo wake ni overhyped same thing naamini makocha wameona. So Jack pale haji.
Kwa maoni yangu Jack uwezo wake siyo wa 80MNakubaliana na wewe kwa sababu ya kwanza. Sababu ya pili nakupinga mpaka nikifa na nikifufuliwa mkuu. Jack ni overhyped???
Jack ni mchezaji wa kiwango cha juu with all attributes na qualities za mchezaji wa kiwango cha juu.
Ni kweli mkuu mimi binafsi naipenda sana chama langu hili ni kama kabila kwangu siwezi kuhama nitabaki nayo!!!Namaanisha sisi fans tutaendelea tu kujadili chama letu kwa marefu na mapana. Tukisikia tunampata mchezaji mpya tutakuja huku kumsifia. Tukisikia tunauza mchezaji tutakuja huku kufurahia au kuhuzunika. Ndio mpira ulivyo. Kazi iendelee.
Ndiyo babaHili jukwaa bado lipo hai tu