Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu mna moyo migumu bado mnafuatilia mpira wa Arsenal?
nawapa taadhari msije kupata ugonjwa wa moyo after 90 Minutes!nipo na Mke wangu mtarajiwa tunapata upepo mwanana Beach
sitaki matatizo ya kiafya sababu ya Arsenal tutajulishana mpira ukiisha results zitakazopatikana
 
Ukiachilia mpira unafuatilia mchezo gani mwingine?
 

How is that our business?
 
😀😀😀😀 mechi ya mwisho hii haina madhara. Hata ikiwa hatujaingia europe, ni hali watu wameshakubali.
 
Ukiachilia mpira unafuatilia mchezo gani mwingine?
I like to watch movies Mkubwa ,naipenda sana Arsenal but angalia msimu unavyoisha kuna mechi tulipoteza kisenge* mfano game ya Everton, Wolverhampton away, Burnley home, Draw na Fulham, tungepata point 3 hizo mechi,leo tungekuwa tunaongelea Conference league kweli?
 
No. So mchezo unaoupenda ni mpira pekee as movies siyo mchezo au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…