Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nenda kapange ww kama ni rahisi hivyo [emoji23][emoji23]
 
Naona Villa analipa fadhila za kumsaidia kubaki ligi kuu msimu uliopita
 
Willock anafunga game ya sita mfululizo na mechi ikiisha anakua kaipa ushindi New Castle hata hivyo sina imani naye in fact kama anaweza kubaki pale abaki ili apate game time bila majukumu yatakayomkosesha amani.
 
West Ham akishinda leo yale matumaini ya Ulaya inakua ndiyo yamekwenda na maji.
 
Matumaini yetu makubwa yalikuwa ni kuchukua Europa..bahati haikuwa upande wetu..binafsi ninafurahi msimu ujao timu yetu itakuwa focus na mashindano ya ndani pekee..#cyog
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…