juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,Mimi hua nawaambia Arsenal vibonde vyake viwili tu yaani viruke vinavyoruka mwisho ni kipigo.
Mimi sioni cha kushangilia hapa. Labda nisistize tu kwamba Tuchel anawadanganya mashabiki wa chelsea hana akili hiyo wanayodai anayo.
Basi usikasirike.Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,
Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Angalau tuwavute kidogo haiwezekani msimu ujao chelsea ndo anaiwakilisha london pekee yakeMsimamo upo hiviView attachment 1782617
Sasa sura zenyewe za kuweka tunazo?Angalau tuwavute kidogo haiwezekani msimu ujao chelsea ndo anaiwakilisha london pekee yake
hata ueropa kweli asernal fnyeni hima mtaweka wapi sura zenu jaman
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwani team inaingia uwanjani kutawala mchezo au kupata matokeoKumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,
Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Ujinga huu. Tumezidiwa mmeshindwa nini kufungaWewe uoni wenzako hawashangilii Huu ushindi kwasababu wanajua wameupata kwa bahati wewe uoni hata aibu mmezidiwa kila kitu
Acha ujinga mpira ni Magoli. Mmeshindwa kufunga. PeriodKumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,
Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Muhimu ni kuwa msimu wa 2020/2021 chelsea kapigwa kotekote na GunnersKidogo tuwasaidie wenzetu wa London ili hata Europe muione mana sisi wanaume tupo fainali mbili na zote tunachukua sasa nyie RED-CROSS fainal ya Europe iliwashinda inabidi tuwashike mkono.
Na muhimu kuliko yote ni chelsea yupo fainali mbiliMuhimu ni kuwa msimu wa 2020/2021 chelsea kapigwa kotekote na Gunners
Na hachukui hata moja.Na muhimu kuliko yote ni chelsea yupo fainali mbili
Mwehu mmoja wewe.Angalia huyu takataka
Wewe huyiogopi Chelsea? Unadhani huyu ni lampard Tena?
#CFC
Naona mlijazana humu mkajua arsenal anamiminiwa mvua ya magoli!!!mmekula cha nguruwe mtulie.league doubleKumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,
Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Hii backpass hatukupaswa kupewa penati na Kepa kuondolewa uwanjani?Odegaard akanyoosha mikono kushangilia.
Kepa akaokoa akashusha mikono kwenda kusaidia hajafika mbali Emile kashatia chuma.
Haibadilishi kitu. Kroenke aende na Arteta atende kama kocha anavyotakiwa kutenda.
View attachment 1782876