Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili goli ni ama liwatishe chelsea au iwe tumewachokoza.
 
Mimi hua nawaambia Arsenal vibonde vyake viwili tu yaani viruke vinavyoruka mwisho ni kipigo.

Mimi sioni cha kushangilia hapa. Labda nisistize tu kwamba Tuchel anawadanganya mashabiki wa chelsea hana akili hiyo wanayodai anayo.
 
Arsenal kampiga Chelsea lakini sijaamini bado,Arsenal hawa hawa au?
 
Mimi hua nawaambia Arsenal vibonde vyake viwili tu yaani viruke vinavyoruka mwisho ni kipigo.

Mimi sioni cha kushangilia hapa. Labda nisistize tu kwamba Tuchel anawadanganya mashabiki wa chelsea hana akili hiyo wanayodai anayo.
Wewe uoni wenzako hawashangilii Huu ushindi kwasababu wanajua wameupata kwa bahati wewe uoni hata aibu mmezidiwa kila kitu
 
Wewe uoni wenzako hawashangilii Huu ushindi kwasababu wanajua wameupata kwa bahati wewe uoni hata aibu mmezidiwa kila kitu
Sasa tushangilie nini kama mechi ya kwanza timewapiga 3? Hapa tunasikitika tumetoa dozi ndogo.

Na Kapteni wa timu, Auba, kaiandikia baru bodi ya ligi iwape points tatu za leo. Hatuzitaki haiwezekani vibonde wetu tuwapige kimoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…